Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

Yaani kujua Yanga ni kubwa katika nyanja zote kuliko Simba unahitaji viewer? Yaani Simba kwakua Ina Viwer wa Chupri Chupri basi mbaka miamba Kama Mamelod,Rajacasabranca, Etoile du sail, Tp Englebert Mazembe n.k Tena zote zina vikombe vya Afrika zinazidiwa na Simba!!! Enyi mbumbumbu fc muwe mnajiongeza kidogo msifanywe Kama mazuzu.
 
Kwa hiyo hapo leo umeridhika kwa takwimu za mitandao, njoo mtaani na soma pia historia ya uhuru wa nchi yetu ndio utajua kwa nini Yanga ni timu ya wananchi wewe kolo mbwiga
Watu wa mtaani ndo hao hao wanaotumia mitandao , the same Simba ina watu pia mtaani
 
Meanwhile.

Arsenal amewapiku idadi ya followers (twitter).

1. Liverpool
2. Chelsea
3. Mancheater

Sijui tusemeje hapa. [emoji16][emoji16][emoji4]
Ujinga ni mzigo mkuu...vitu vingine ni vya kuviangalia kuviacha.
 
Hivi mashabiki wa hii timu umbumbumbu mtaacha lini? Maana kadiri siku zinavyozidi kwenda ndo hali inazidi kuwa mbaya
 
Yanga ni tim ya wasio na elim na watu duni wasio na mbele wala nyuma tangia nchi haijapata uhuru mpaka sasa.
cc msukule manara

[emoji116]
 
We kama mwanayanga unachukuliaje swala la timu yako kuzidiwa na timu nyingine iihali nyinyi mnasema ni timu ya wananchi?
Mkuuu una maswali ya maudhi sana kwa mwananchi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…