Mkiambiwa Uchawi (Ushirikina) Makao Makuu yake ni Barani Afrika muwe mnaelewa tafadhali

Hii imetokea huko Kenya Mwizi huyo alijifanya anahitaji gari za kukodisha na kuelewana na mwenye magari, mwenye gari alienda kununua vocha ndipo mwizi huyo alipomuwekea madawa kwenye juisi aliyokuwa akinywa na kukosa fahamu
Mhanga huyo alienda kwa mganga kwa kuwa hakuwa na imani na polisi na mganga akamuambia atapeleka gari hilo kwa polisi mwenyewe
Mwizi huyo alijipeleka kituoni mwenyewe na gari likiwa na nyuki waliokufa lakini mwenye gari alisema hatamfungulia mashataka kwa kuwa amepata gari lake

KENYA:
WAKUMBWA NA UGONJWA WA KUIMBA, WADAIWA KULA MAGIMBI YA WIZI

Watu Wanane wa Familia moja. wamejikuta wakiugua Ugonjwa wa ajabu huku wakiimba kwa Sauti ya juu kabisa nyimbo mbalimbali za Wasanii tofauti tofauti barani Afrika na Marekani baada. ya Kuiba Chakula cha Mwamba Mmoja ambaye hata hana dalili zozote za Kuwaonea Huruma jana, leo, kesho na mtondogoo. Mama wa familia, Susan Wangari amedai wamekuwa hivyo baada ya kula Magimbi yanayosadikiwa ni ya wizi. #motratvonline
103104218_1914127255387737_3338799560367886981_n.jpg
Kenya waongo sana hao
 
Duu, kuna ugonjwa uliwahi kutokea Germany miaka 1500s (inajulikana kama dancing plague) ambapo watu walianza kucheza mziki pasipo kuacha, yani alianza mtu mmoja akaambukiza wengine mara mji mzima watu wanacheza mziki. Watu walikuwa wanasakata rhumba 24/7 mtu anaacha pale anapokufa. Yani watu walisakata rumba non-stop.
Mpaka leo haijulikani nini kilikuwa chanzo.
 
Back
Top Bottom