Mkiambiwa wahuni hawafai uongozi, yafaa kuelewa

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Kwanini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa Tanesco chini ya waziri wake kijana Januari.

Kuingia tu akaja na mipango kemkem Tanesco mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye mita. Ukisasa ni kwamba ukilipa tu mita yako moja kwa moja inajibu kwa kupokea na kuongeza units kwenye mita kiasi ulicholipia.

Mambo ya kujiuliza ni kwamba je, kuna ulazima kuleta mpango huo kwa sasa ukizingatia shirika la tanesco lilikua kwenye mkakati wa kujikwamua kutoka kupata hasara? Je, hiyo teknolojia ambayo pengine hata Ulaya bado ni mpya kuna haja ya nchi yetu kuikimbilia?

Halafu la msingi kubadili mita nchi nzima kwa bei ya hizo mita si itakua gharama kubwa sana kwa shirika linalopata hasara? Kwa ufupi wahuni wanakujaga na mipango ya upigaji tu. Hapa tulipo kimaendeleo teknolojia ya mita tuliyonayo inatosheleza kabisa. Hakuna sababu kuingiza shirika gharama kubwa kwa tamaa binafsi ya mtu.

Watakwambia mita zitabadilishwa taratibu lakini sio kweli maana wauzaji hadi ununue ndio upate chako cha juu. Kwa hivyo tutashuhudia ubadhirifu mita nzima zinang'olewa na kubafilishwa.

Huu ni mfano mmoja tu jinsi wahuni hawawezi kuleta maendeleo ya nchi ila kuleta maendeleo yao binafsi ili kujikita kudhibiti dola kwa faida yao.
 
Nawafuatilia watu fulani humu na nje wale waliokuwa wanashangilia wakati ule, kwa sasa sioni ile mihemko yao ni kama wamepigwa ganzi.

Safari bado inasonga, wanasema "usishangilie muda wa kutoka ukiwa umekaribia waksti kengere haijalia."
 
Mnakoseaga sana kumuita Makamba Jr kijana wakati ana miaka 51. Mwigulu Nchemba ana 60 mnamuita kijana. Acheni hizo.

Hata Pascal Mayalla mtamuita kijana?
 
Kengere ndio nini mkuu?
 
Polepole mwenyewe ni muhuni. Binafsi sioni sababu ya kuamini kwa kuwa Polepole kasema. Unless kuna Polepole mwingine unayemzungumzia hapa.
 
Kwanini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa Tanesco chini ya waziri wake kijana Januari.

Kuingia tu akaja na mipango kemkem Tanesco mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye mita. Ukisasa ni kwamba ukilipa tu mita yako moja kwa moja inajibu kwa kupokea na kuongeza units kwenye mita kiasi ulicholipia.

Mambo ya kujiuliza ni kwamba je, kuna ulazima kuleta mpango huo kwa sasa ukizingatia shirika la tanesco lilikua kwenye mkakati wa kujikwamua kutoka kupata hasara? Je, hiyo teknolojia ambayo pengine hata Ulaya bado ni mpya kuna haja ya nchi yetu kuikimbilia?

Halafu la msingi kubadili mita nchi nzima kwa bei ya hizo mita si itakua gharama kubwa sana kwa shirika linalopata hasara? Kwa ufupi wahuni wanakujaga na mipango ya upigaji tu. Hapa tulipo kimaendeleo teknolojia ya mita tuliyonayo inatosheleza kabisa. Hakuna sababu kuingiza shirika gharama kubwa kwa tamaa binafsi ya mtu.

Watakwambia mita zitabadilishwa taratibu lakini sio kweli maana wauzaji hadi ununue ndio upate chako cha juu. Kwa hivyo tutashuhudia ubadhirifu mita nzima zinang'olewa na kubafilishwa.

Huu ni mfano mmoja tu jinsi wahuni hawawezi kuleta maendeleo ya nchi ila kuleta maendeleo yao binafsi ili kujikita kudhibiti dola kwa faida yao.
Tulishasema ile nafasi ya wizara ya nishati iko vacant hakuna waziri pale.hii ndio hasara ya kumshangilia Rais bila kutumia Akili.
 
Wanafikiria kuiba tu ,sio kusaidia taifa kuendelea.siku zote Ni manunuzi tu yenye ufisadi.hizi mita haziitii hasara Tanesco unaondoa kwanini kuongeza matumizi kwenye shirika linalopata hasara?kwa Hali ilivyo hatutaona faida ya bwana la Nyerere kwani Tanesco itakuwa na madeni makubwa hata kushindwa kupunguza Bei ya umeme kuvutia uwekezaji kwe viwanda.tofauti na lengo la aliayeanzisha ujenzi.
 
Mnakoseaga sana kumuita Makamba Jr kijana wakati ana miaka 51. Mwigulu Nchemba ana 60 mnamuita kijana. Acheni hizo.

Hata Pascal Mayalla mtamuita kijana?
Labda januari tuwe tunamwita kiparangoto🤣. Unajua yeye kaingizwa kufanya kazi ikulu na jk rafiki mkubwa wa baba yake angali kijana sana. Uongozi kaanzia juu hajui huku chini kukoje😆
 
Wanafikiria kuiba tu ,sio kusaidia taifa kuendelea.siku zote Ni manunuzi tu yenye ufisadi.hizi mita haziitii hasara Tanesco unaondoa kwanini kuongeza matumizi kwenye shirika linalopata hasara?kwa Hali ilivyo hatutaona faida ya bwana la Nyerere kwani Tanesco itakuwa na madeni makubwa hata kushindwa kupunguza Bei ya umeme kuvutia uwekezaji kwe viwanda.tofauti na lengo la aliayeanzisha ujenzi.
Umetoa hoja nzito kwelikweli. Chini ya wahuni umeme hautakaa upungue bei wala tanesco haitakaa ipate faida kama alivyokua amepanga magufuli.
 
Wametaja gharama za huo mradi ?ni kiasi gani??
 
Wanafikiria kuiba tu ,sio kusaidia taifa kuendelea.siku zote Ni manunuzi tu yenye ufisadi.hizi mita haziitii hasara Tanesco unaondoa kwanini kuongeza matumizi kwenye shirika linalopata hasara?kwa Hali ilivyo hatutaona faida ya bwana la Nyerere kwani Tanesco itakuwa na madeni makubwa hata kushindwa kupunguza Bei ya umeme kuvutia uwekezaji kwe viwanda.tofauti na lengo la aliayeanzisha ujenzi.
Unazijua kazi za waziri lakini? Unajua kwamba yeye siyo mtaalam wa umeme?
 
Nawafuatilia watu fulani humu na nje wale waliokuwa wanashangilia wakati ule, kwa sasa sioni ile mihemko yao ni kama wamepigwa ganzi.

Safari bado inasonga, wanasema "usishangilie muda wa kutoka ukiwa umekaribia waksti kengere haijalia."
Katika mapumbavu hapa jukwaani wewe ni namba moja
 
Back
Top Bottom