Mkiamua kuachana ni vizuri kuachana kwa amani maana hujui kesho yako

Mkiamua kuachana ni vizuri kuachana kwa amani maana hujui kesho yako

Eti wanakuwaga na huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaka hawanaga huruma sema umekuja na mihela ndio wanakupa mbunye.

Huna hela ata mlikuwa mmeacha vizuri huoewi papuchi ng'oo
Wewe mie nawakula tu bila hela hasa ukute ex anaelewa show
 
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu.!


Uzi tayari.
Kwahiyo mtu umuache kwa amani ili ukimmiss tu uombe game, mambo ya ajabu sana, mambo ya kwenda na kurudi sio msimamo, kama unasonga mbele songa ili unaemuacha nae apate mtu atakae mjali
 
Hakuna amani, la sivyo msinge achana...sema inategemea amani kiwango chake kina differ... lol
 
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu.!
Kuachana kwa amani,au genye zilikusumbua? Inategemea nn kimefanya mtengane
 
japo najua kuna boya anamiliki kwa sasa maana dalili naziona ila
hata huyo demu wako mpya kuna lijamaa somewhere likisoma upuuzi wako hapa linajichekea tuu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

wala usimtamkie mabaya muache kwa amani siku ukijiskia kummisi itakuwa rahisi kukupa mbunye
ndio mana hata mchizi aliyemuacha demu wako mpya nae hata hakumtakia maneno mbofu mbofu ili siku akijisikia kupasha kiporo anagusa tuu kitu waaah
 
Kurudiana na ex wako ni sawa na kuskia shule ya msingi ulosoma .
Imepakwa rangi mpya ...wakati uko chuo sasa
 
Unaonaje kimyaa kinyaa kwa binadamu mwenzako uliyelala nae kitanda kimoja? Nakukumbusha, kwa huyo mwanamke unayeanzisha mahusiano nae leo ambaye kesho atakua kinyaa kwako tayari huyo ni X wa mwenzako leo.
Pole sana mkuu,mm nilifungua utepe mwenyewe hivyo ukimkula umekula matapishi yangu ,
Kupanga ni kuchagua
 
Mbwa Dume wewee Hujakua. Siku ukibalehe Utajua thamani ya mwili wako. Na hutauchezea tena
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu!
 
Back
Top Bottom