Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu!
Mimi binafsi nilikuwaga najiamini nikimwacha msichana siwezi kurudiana naye lakini mwaka jana mwezi wa nane kuna kadada flani nilikapiga chini baada ya kushindwa baadhi ya tabia zake hasa uongo yaani hasemagi ukweli kabisa hivyo ikapelekea nikapoteza imani naye nikaamua kumwacha na kukataa kumsamehe maana ni miaka miwili hataki kubadirika lakini baada ya kumwacha nimevumilia mwezi hivi nikahisi kuna kitu bado namiss kwake.
Japo sio kazuri sana kuzidi hawa wengine ikabidi nimtafute nijishushe japo najua kuna boya anamiliki kwa sasa maana dalili naziona ila nimejiegesha kwake huwa nakatafuna kimya kimya bila kushika simu yake wala kumfuatilia ila ukweli ni kwamba kila nikimuhitaji ananipa mambo na huwa naenjoy kuliko hata demu wangu mpya ambaye ni mzuri kwa kumuangalia tu.
Nilichojifunza ukiamua kumwacha msichana usiseme kwa watu wala usimtamkie mabaya muache kwa amani siku ukijiskia kummisi itakuwa rahisi kukupa mbunye hata kama alishaolewa wanakuwaga na huruma hasa kama alikuwaga anakuelewa show yako.
...'japo siyo kazuri sana'...kosa la kiufundi hilo!
Hakuna mwanamke mbaya linapokuja suala la kupenda na kuchagua, kwa sababu uzuri wa mwanamke upo machoni mwa anayemchagua.
Hivyo kama ulimchagua huyo kwako ni mzuri tayari, acha blah blah.
Kila mwanaume ana kipaumbele chake katika kuchagua.
Mfano mimi napenda wanawake weusi tii wanaoringa na kujikweza.
Nikiwa naye wa hivyo bila kujali ana haiba gani, mwenzangu na mimi waweza tia dharau kuwa: 'huyu naye, dem gani wa hivi', kumbe mwenzako nimekufa na kuoza.
Na hakuna shujaa wa mapenzi, kila nafsi kuna sehemu yake inapoweza kukwamishwa kimapenzi, bila kujali uzuri ama ubaya wa sura.
Anayejisifia kukomoa wenza kimapenzi, elewa huyo hajapata size yake ya kum-mudu.