GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
huna haja ya kusema kitu, kwani hiyo chumamboga, miguno na
"kilio" atachokikuta humo mwenyewe atatoka nduki!
"kilio" atachokikuta humo mwenyewe atatoka nduki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha bwebwe!!! mbavu zetu ni chache!!ukiwa mkali psychological una mwaribu thn zuga au vunja ukimya pindi aulizapo.
Hii imenikumbusha tory 1 ilikuwa baba anamazoea ya kuoga na mwanae sku 1 akauliza baba hii nn?baba karoti. sku nyengine na mama mama hiya nn.mama bustani.dogo akarizika siku 1 wanakula mezan dogo akaanzisha mada baba kwann usiwe upanda karoti yko kwenye bustani ya mama.?
Unafiri baba atamjibu nini apu!
Fikiria effect ya hicho kitu kwa mwanao.
effect yake si traumatising kihivyo. Wangapi wamewabamba wazazi wao wakiwa wanakula uroda na wako poa tu!?
Mimi mwenyewe nimeshawahi kuwasikia wadingi wakiwa wanapeana utamu wakati nikiwa mdogo. Ingawa sikuuliza walikuwa wanafanya nini nilielewa halafu nikajinyamazia tu na hakuna effect yoyote niliyoipata.
Kwenye familia yenye watoto hayo mambo hutokea sana.
hahahah hapo ndipo mtamuharibu kabisaaa manake watoto wanapenda sana watoto, hivyo na yeye ataenda kumtafuta mwenzake watengeneze mtoto.mwambie tuna tengeneza mdogo wako
tema mate chini miaka 8 ni mkubwa mno mimi wangu ana miaka 7 ananisimulia tamthilia kama nimeikosa anajua kila kitu kwenye tamthilia na anaelezea utadhani mtu mzima watoto wa siku hizi wako exposed sana hata mikatuni yao sometimes inachakachuanaagrrr miaka 8 bado mdogo bn haelewi kitu kabisaaa
ukiwa mkali psychological una mwaribu thn zuga au vunja ukimya pindi aulizapo.
Hii imenikumbusha tory 1 ilikuwa baba anamazoea ya kuoga na mwanae sku 1 akauliza baba hii nn?baba karoti. sku nyengine na mama mama hiya nn.mama bustani.dogo akarizika siku 1 wanakula mezan dogo akaanzisha mada baba kwann usiwe upanda karoti yko kwenye bustani ya mama.?
Unafiri baba atamjibu nini apu!
Effect yake si traumatising kihivyo. Wangapi wamewabamba wazazi wao wakiwa wanakula uroda na wako poa tu!?
Mimi mwenyewe nimeshawahi kuwasikia wadingi wakiwa wanapeana utamu wakati nikiwa mdogo. Ingawa sikuuliza walikuwa wanafanya nini nilielewa halafu nikajinyamazia tu na hakuna effect yoyote niliyoipata.
Kwenye familia yenye watoto hayo mambo hutokea sana.
Mh we nae kwa umbea, si ulijiahidi mwenyewe hutakaa umwambie mtu kama uliwaskia madingi, hee mbona umewatangaza sasa, utasutwa.Effect yake si traumatising kihivyo. Wangapi wamewabamba wazazi wao wakiwa wanakula uroda na wako poa tu!?