GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Naona hata wewe Maria Roza una miaka nane na huelewi kitu kabisa.agrrr miaka 8 bado mdogo bn haelewi kitu kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hata wewe Maria Roza una miaka nane na huelewi kitu kabisa.agrrr miaka 8 bado mdogo bn haelewi kitu kabisaaa
Hili nadhani ndio jibu sahihi kwa topic hii.Kwa ukweli tukubaliane maswali mengine hua hayana majibu, jibu la swali kama hili linapatikana ile siku mmekutwa na mtoto. Mtoto akisha wafuma ndo mtapata kigugumizi then ujasiri najibu hapohapo, kwa sasa unaweza sema ntafanya hivi au hivi, laki ni mpaka itokee ndo jibu litajileta lenyewe.