Kwa ukweli tukubaliane maswali mengine hua hayana majibu, jibu la swali kama hili linapatikana ile siku mmekutwa na mtoto. Mtoto akisha wafuma ndo mtapata kigugumizi then ujasiri najibu hapohapo, kwa sasa unaweza sema ntafanya hivi au hivi, laki ni mpaka itokee ndo jibu litajileta lenyewe.