Mkicheza na Rivers United FC mwambieni na Mchezaji wao Ajipigishe Shoti apewe Red Card ili mshinde sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.

Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili ya Kujipigisha Shoti (Kucheza Rafu Makusudi ili upewe Red Card) timu yako iwe dhaifu na ya Pili Mchezaji wa Timu Pinzani mkiwa Uwanjani na akikuona Unakaza / Unakomaa mno anatumwa (anaagizwa) na Watu wa Benchi (waliopewa Mgawo) kuwa Hela yako imeshaingizwa na Muamala unasoma sasa.

Fanyeni mipango yenu GENTAMYCINE nikiwa sipo ila nikiwa nipo hivi hakuna Ujanja au Mbinu Chafu (ya Kimafia) ambayo mtaifanya hata kwa Siri Mimi nisijue / nisiijue.

Hovyoooooooo.......!!!!!!!
 
Hapo Inonga alikula kadi nyekundu.... Alisikika kima mmoja
20220814_010008.jpg
 
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.

Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili ya Kujipigisha Shoti ( Kucheza Rafu Makusudi ili upewe Red Card ) timu yako iwe dhaifu na ya Pili Mchezaji wa Timu Pinzani mkiwa Uwanjani na akikuona Unakaza / Unakomaa mno anatumwa ( anaagizwa ) na Watu wa Benchi ( waliopewa Mgawo ) kuwa Hela yako imeshaingizwa na Muamala unasoma sasa.

Fanyeni mipango yenu GENTAMYCINE nikiwa sipo ila nikiwa nipo hivi hakuna Ujanja au Mbinu Chafu ( ya Kimafia ) ambayo mtaifanya hata kwa Siri Mimi nisijue / nisiijue.

Hovyoooooooo.......!!!!!!!
acha ujinga
 
Simba vs Mtibwa, Mtibwa Sugar player was given the red [emoji3532].

Simba vs Ruvu Shooting, Ruvu Shooting player was given the red [emoji3532].

Hapakuwa na manung'uniko yoyote toka kwa Wananchi wastaarabu.

Vidume "Yanga" Vs Geita Gold, Geita Gold player was given the red [emoji3532] na ndiyo chanzo cha malalamiko toka kwa Simba FC kila kona ya nchi [emoji23]

Aden Rage [emoji117] "Mbumbumbu" bin Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Makelele/Makolokolo/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume/Mazumbukuku [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka mwaka ambao Simba alipigwa na mazembe 2-3 hapa dar mwandishi wa habari alimuhoji Moise Katumbi na kumwambia kuwa timu pinzani wanasema unahonga marefa ili ushinde yeye akajibu kitu pekee anachofanya ni kuhonga wachezaji wake ili ashinde, akimaanisha anawalipa vizuri. POPOMA ULIYETUKUKA NATUMAI UMENIELEWA
 
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) anayewadai Fedha zake ambazo FIFA imewapeni hadi Mwezi May 2023 muwe mmeshamlipa vinginevyo mtapigwa Faini Kubwa na Kuzuiwa Kusajili alisema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe.

Cc: SAGAI GALGANO
 
Nakumbuka mwaka ambao Simba alipigwa na mazembe 2-3 hapa dar mwandishi wa habari alimuhoji Moise Katumbi na kumwambia kuwa timu pinzani wanasema unahonga marefa ili ushinde yeye akajibu kitu pekee anachofanya ni kuhonga wachezaji wake ili ashinde, akimaanisha anawalipa vizuri. POPOMA ULIYETUKUKA NATUMAI UMENIELEWA
Siku zote huwa Unanitukana ( tena kwa Kunidhalilisha kabisa ) leo imekuwaje hujafanya hivyo?

Tafadhali kama Umesahau nakukumbusha na naomba Unitukane na Unidhalilishe kwani huwa napenda ukifanya hivyo.
 
Kukutukana wewe sawa nakujitukana mwenyewe, Ramadhani Kariim
Siku zote huwa Unanitukana ( tena kwa Kunidhalilisha kabisa ) leo imekuwaje hujafanya hivyo?

Tafadhali kama Umesahau nakukumbusha na naomba Unitukane na Unidhalilishe kwani huwa napenda ukifanya hivyo.
 
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.

Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili ya Kujipigisha Shoti ( Kucheza Rafu Makusudi ili upewe Red Card ) timu yako iwe dhaifu na ya Pili Mchezaji wa Timu Pinzani mkiwa Uwanjani na akikuona Unakaza / Unakomaa mno anatumwa ( anaagizwa ) na Watu wa Benchi ( waliopewa Mgawo ) kuwa Hela yako imeshaingizwa na Muamala unasoma sasa.

Fanyeni mipango yenu GENTAMYCINE nikiwa sipo ila nikiwa nipo hivi hakuna Ujanja au Mbinu Chafu ( ya Kimafia ) ambayo mtaifanya hata kwa Siri Mimi nisijue / nisiijue.

Hovyoooooooo.......!!!!!!!
Na onyango alijipigisha shoti,acha ww popoma
 
Ila wewe jamaa jinga sana. Utadhani jike.

Back
Top Bottom