Mkicheza na Rivers United FC mwambieni na Mchezaji wao Ajipigishe Shoti apewe Red Card ili mshinde sawa?

Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.

Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili ya Kujipigisha Shoti ( Kucheza Rafu Makusudi ili upewe Red Card ) timu yako iwe dhaifu na ya Pili Mchezaji wa Timu Pinzani mkiwa Uwanjani na akikuona Unakaza / Unakomaa mno anatumwa ( anaagizwa ) na Watu wa Benchi ( waliopewa Mgawo ) kuwa Hela yako imeshaingizwa na Muamala unasoma sasa.

Fanyeni mipango yenu GENTAMYCINE nikiwa sipo ila nikiwa nipo hivi hakuna Ujanja au Mbinu Chafu ( ya Kimafia ) ambayo mtaifanya hata kwa Siri Mimi nisijue / nisiijue.

Hovyoooooooo.......!!!!!!!
Mbona unawaonea wivu Geita wewe mrembo? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
 
Siku zote huwa Unanitukana ( tena kwa Kunidhalilisha kabisa ) leo imekuwaje hujafanya hivyo?

Tafadhali kama Umesahau nakukumbusha na naomba Unitukane na Unidhalilishe kwani huwa napenda ukifanya hivyo.
Kumbe unafurahia kutukanwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.

Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili ya Kujipigisha Shoti ( Kucheza Rafu Makusudi ili upewe Red Card ) timu yako iwe dhaifu na ya Pili Mchezaji wa Timu Pinzani mkiwa Uwanjani na akikuona Unakaza / Unakomaa mno anatumwa ( anaagizwa ) na Watu wa Benchi ( waliopewa Mgawo ) kuwa Hela yako imeshaingizwa na Muamala unasoma sasa.

Fanyeni mipango yenu GENTAMYCINE nikiwa sipo ila nikiwa nipo hivi hakuna Ujanja au Mbinu Chafu ( ya Kimafia ) ambayo mtaifanya hata kwa Siri Mimi nisijue / nisiijue.

Hovyoooooooo.......!!!!!!!
Mbona nyinyi kwenye mechi zenu za ligi kama vile Mtibwa wachezaji wawili walijipigisha red card mkashinda 5 mechi na Prison mchezaji 1 alijipigisha red card mkashinda 7 na kuna nyingine ambazo nimesahau . Dunduka ni dunduka hopeless
 
Siku zote huwa Unanitukana ( tena kwa Kunidhalilisha kabisa ) leo imekuwaje hujafanya hivyo?

Tafadhali kama Umesahau nakukumbusha na naomba Unitukane na Unidhalilishe kwani huwa napenda ukifanya hivyo.
Nikwambie tu ukiwa unaoga mtoni halafu chizi akichukua nguo zako nawewe ukaanza kumkimbiza uchi wewe ndio utaonekana chizi
 
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.

Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili ya Kujipigisha Shoti ( Kucheza Rafu Makusudi ili upewe Red Card ) timu yako iwe dhaifu na ya Pili Mchezaji wa Timu Pinzani mkiwa Uwanjani na akikuona Unakaza / Unakomaa mno anatumwa ( anaagizwa ) na Watu wa Benchi ( waliopewa Mgawo ) kuwa Hela yako imeshaingizwa na Muamala unasoma sasa.

Fanyeni mipango yenu GENTAMYCINE nikiwa sipo ila nikiwa nipo hivi hakuna Ujanja au Mbinu Chafu ( ya Kimafia ) ambayo mtaifanya hata kwa Siri Mimi nisijue / nisiijue.

Hovyoooooooo.......!!!!!!!
Wanadai safari hii "ule mto" wa Naija watauvuka, tena kwa kupiga mbizi wala sio na ngalawa.
 
Nikwambie tu ukiwa unaoga mtoni halafu chizi akichukua nguo zako nawewe ukaanza kumkimbiza uchi wewe ndio utaonekana chizi
Tatizo unamremba remba yaani huyo ni wa kutukana haswa na ni Halali yake namchukia MTU anaechukia mafanikio ya wenzie .
 
imagine yanga kacheza mechi 6 za makundi bila timu yoyote kuwa pungufu na kawanyoosha watu vzuri tena wengine nje ndani huku pira heavy likipigwa AFU MPUMBAVU MMOJA ANAKUJA KUANDIKA HIZI PUMBA..hii nchi wajinga wengi
 
Bora Wajinga ( Ignorants ) wengi kuliko Wewe Mpumbavu ( Fool ) Mmoja.
 
Tatizo unamremba remba yaani huyo ni wa kutukana haswa na ni Halali yake namchukia MTU anaechukia mafanikio ya wenzie .
Kama Yeye unaona anarembaremba katika Kunitukana hata Juha ( Moron ) Wewe unaweza Kumsaidia pia wala hakuna tatizo.

Cc: nguvu
 
Wanakunajisi nini hebu jiangalie kijana angle nyingine sio za kuingia ntakuja fil**** MTU halaf nionekane mbaya
 
Back
Top Bottom