Mkicheza na Rivers United FC mwambieni na Mchezaji wao Ajipigishe Shoti apewe Red Card ili mshinde sawa?

Mbona unawaonea wivu Geita wewe mrembo? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
 
Siku zote huwa Unanitukana ( tena kwa Kunidhalilisha kabisa ) leo imekuwaje hujafanya hivyo?

Tafadhali kama Umesahau nakukumbusha na naomba Unitukane na Unidhalilishe kwani huwa napenda ukifanya hivyo.
Kumbe unafurahia kutukanwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona nyinyi kwenye mechi zenu za ligi kama vile Mtibwa wachezaji wawili walijipigisha red card mkashinda 5 mechi na Prison mchezaji 1 alijipigisha red card mkashinda 7 na kuna nyingine ambazo nimesahau . Dunduka ni dunduka hopeless
 
Siku zote huwa Unanitukana ( tena kwa Kunidhalilisha kabisa ) leo imekuwaje hujafanya hivyo?

Tafadhali kama Umesahau nakukumbusha na naomba Unitukane na Unidhalilishe kwani huwa napenda ukifanya hivyo.
Nikwambie tu ukiwa unaoga mtoni halafu chizi akichukua nguo zako nawewe ukaanza kumkimbiza uchi wewe ndio utaonekana chizi
 
Wanadai safari hii "ule mto" wa Naija watauvuka, tena kwa kupiga mbizi wala sio na ngalawa.
 
Nikwambie tu ukiwa unaoga mtoni halafu chizi akichukua nguo zako nawewe ukaanza kumkimbiza uchi wewe ndio utaonekana chizi
Tatizo unamremba remba yaani huyo ni wa kutukana haswa na ni Halali yake namchukia MTU anaechukia mafanikio ya wenzie .
 
imagine yanga kacheza mechi 6 za makundi bila timu yoyote kuwa pungufu na kawanyoosha watu vzuri tena wengine nje ndani huku pira heavy likipigwa AFU MPUMBAVU MMOJA ANAKUJA KUANDIKA HIZI PUMBA..hii nchi wajinga wengi
 
Bora Wajinga ( Ignorants ) wengi kuliko Wewe Mpumbavu ( Fool ) Mmoja.
 
Tatizo unamremba remba yaani huyo ni wa kutukana haswa na ni Halali yake namchukia MTU anaechukia mafanikio ya wenzie .
Kama Yeye unaona anarembaremba katika Kunitukana hata Juha ( Moron ) Wewe unaweza Kumsaidia pia wala hakuna tatizo.

Cc: nguvu
 
Wanakunajisi nini hebu jiangalie kijana angle nyingine sio za kuingia ntakuja fil**** MTU halaf nionekane mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…