Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo alijfanya naye ni mme wapili duu jamani wajeuri na alikuwa anajiamini kweliPolisi fedheha mkuu inabidi yaishe kikomando tu na jamaa had sasa hatujui alipo
Ila ndo hivyo mwenye nyumba katupa wiki moja tu tumpe mageto yake aweke wenye ndoa zao
Sema jamaa nae kzingua kweli yani karibu hapo afu kila siku inavyosemekana
Haaa haaa Adam alijisahau Mungu kampa msaidizi yeye anamuacha atoke pekeyake wakati maagizo alipewa yeyeWanasahau hivyo vitu hata Adam vilimponza, Osama aliuwawa na demu ndani,havina ubabe hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri ila saa 12 inakuwa bado mapema sana watu hawakumuonaUnauliza maembe kibada?! Pigia mstari mnyoofu
Ayaaa kwa hiyo unabariki watu kujirivasNajaribu kuvuta picha kuhusu fumanizi, Mpo uchi wa mnyama, ghafla mlango unagongwa , jamani jamani nahisi kujikojolea.
Ila baadhi ya wanaume ni falaz nyumba ajenge mwezako, kitanda anunue yeye, mashuka yeye, mke amlipie mahari yeye, amtunze yeye halafu ukamgonge wewe mshenzi mmoja tena kwenye nyumba yake,
Na mfumuliwe marinda tuu.
Hivi kuna repair [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee " siaende kwa fundi kushona amuwekee marinda mengine tu
Jirani yako karudi kwenye chumba chake au.bado anajitibia huko kwenye chimbo [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaaa ulijuaje mzee baba!!