Mkienda Gym ahsubuh malizeni ya ndani kwanza jamani... jamaa kafumania jirani yake na kitaulo kisa Gym

Polisi fedheha mkuu inabidi yaishe kikomando tu na jamaa had sasa hatujui alipo
Ila ndo hivyo mwenye nyumba katupa wiki moja tu tumpe mageto yake aweke wenye ndoa zao
Sema jamaa nae kzingua kweli yani karibu hapo afu kila siku inavyosemekana
Kwahiyo alijfanya naye ni mme wapili duu jamani wajeuri na alikuwa anajiamini kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuvuta picha kuhusu fumanizi, Mpo uchi wa mnyama, ghafla mlango unagongwa , jamani jamani nahisi kujikojolea.
Ila baadhi ya wanaume ni falaz nyumba ajenge mwezako, kitanda anunue yeye, mashuka yeye, mke amlipie mahari yeye, amtunze yeye halafu ukamgonge wewe mshenzi mmoja tena kwenye nyumba yake,
Na mfumuliwe marinda tuu.
 
Ayaaa kwa hiyo unabariki watu kujirivas
 
Hilo ni tatizo la kuoa wanawake wenye uzoefu/mafundi na wasiopenda vibamia. Mwanaume mmoja kumridhisha mwanamke kungwi aliekwisha onja wanaume 40 ni kazi ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…