Mkienda Gym ahsubuh malizeni ya ndani kwanza jamani... jamaa kafumania jirani yake na kitaulo kisa Gym

huo muda nyie majirani kwann mlkuwa macho kodo kwa watu ?
 
Usitishe watu hapa. Kwanza hakuna mjinga wa aina hiyo. Unaenda kwa watu saa 12 asubuhi ati kajifunga taulo. Alidhani bafuni?? Ukitufunga kamba hakikisha si manila kwani huteleza ikajifungua yenyewe.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…