Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Jumamosi iliyopita nilienda kuzika msiba mmoja pale ununio
Aise nilichokiona sijui n marafiki wa marehemu ama ndugu wa marehemu vibinti miguu kama yangu vimevaa vinguo vifupi kama wako sinza kazini
Sasa nkajiuliza hawa wanahuzunika ama ndio popote kambi
Dah leo naangalia fb nakutana na msiba mmoja wa ghana nao same
Binti kavaa kanguo kafupi anabiringika sijui tuone nyashii yake ama loh
Nkasema kumbe hawa kumbikumbi wamoja kha
Tuvae mavazi ya heshima misiban jaman kuna wafiwa wengine hivyo vinguo hawavipendi
Wakiwaona mnawaongezea misiba mingine
Alie na sikio na asikiee