Mkienda misibani acheni kwenda na sketi ama nguo fupi mabinti kule tunaombeleza jamani..ombi tu

Mkienda misibani acheni kwenda na sketi ama nguo fupi mabinti kule tunaombeleza jamani..ombi tu

Jumamosi iliyopita nilienda kuzika msiba mmoja pale ununio

Aise nilichokiona sijui n marafiki wa marehemu ama ndugu wa marehemu vibinti miguu kama yangu vimevaa vinguo vifupi kama wako sinza kazini

Sasa nkajiuliza hawa wanahuzunika ama ndio popote kambi

Dah leo naangalia fb nakutana na msiba mmoja wa ghana nao same

Binti kavaa kanguo kafupi anabiringika sijui tuone nyashii yake ama loh

Nkasema kumbe hawa kumbikumbi wamoja kha

Tuvae mavazi ya heshima misiban jaman kuna wafiwa wengine hivyo vinguo hawavipendi

Wakiwaona mnawaongezea misiba mingine

Alie na sikio na asikiee
Wanawake akili zao wanajua wenyewe wala wasikuhangaishe, wengine ndiyo wako kazini kutega wanaume!
 
Jumamosi iliyopita nilienda kuzika msiba mmoja pale ununio

Aise nilichokiona sijui n marafiki wa marehemu ama ndugu wa marehemu vibinti miguu kama yangu vimevaa vinguo vifupi kama wako sinza kazini

Sasa nkajiuliza hawa wanahuzunika ama ndio popote kambi
Labda kuna wengine kufarijiana kunakuwa more effective katika nyanja hizo. Machozi, pole nyingi, then one thing leads to another
 
Mpwa bado kidogo nitamanimsiban bahati kuna kale kabar pemben mnakajua wale mliozika ununio nkakimbilia pale na vile kiko ndan ya kioo hata nyashiee ikawa shida kuangalia zaidi ya

DOMPO

ILIBIDI NINUNUE DOMPO MAAN NILIJUA WAKIJA WATU WAKAONA BEER WATAOMBA WANUNULIWE NA DOMPO MARUFUKU KUSHARE WALIPATAJE SHIDA TULIANGALIANA MPAKA NAIMALIZA
PONGEZI ALIETENGENEZA HII KINYWAJI
Kwa mara ya kwanza kuanzia mwaka 2007 p.didy umeandika mwandiko unaoeleweka.
Vipi umemuelewa?
 
Wengine wanafika msibani utadhani wamepotea njia wakielekea beach. Mwisho wa siku kila sehemu ina mavazi yanayoendana na mazingira yake. Heshima haipunguzi uzuri.
 
Hahahaha
Kuna msiba Moja nilienda Kwa Nia ya kuzika ila nikaishia bar ya jirani na washikaji WA marehemu mixer mademu,tuliishia hapo hapo Hadi usiku ,na kuondoka na mmoja
Hasa zile za kinondon mkuu usijichanganye kama wameloga ukikalia viti unaweza Ishida kuuliza mshamaliza kuzika..kushoto mumu kulia mumy hela zako tu
😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆

Zile pemben ya makaburi loh srinaga hamunazo mpka kesho..nikienda kuzika nimewahi ntakalia makaburi nasubiria sio bar
 
Yaani hawa wanaweza hata kumdatisha bwana harusi,unajiuliza hizi pisi zilikuwa wapi mpaka zionekana kwenye sherehe yangu
Wanaitwa mishangaziiii
Wengi n wanaletwa na ma x wa bwanaharusi kuchafua haliyahewa

Sasa mke kama una roho ngumu mimbayandoa inanzia hapo kabla aijaingia tumboni 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆
 
samahani kuuliza
Hivi mbona ma x wengi wanakuja harusini
lakini wakisikia umekufa hawakanyagi??

hii n "Jinai"
 
Back
Top Bottom