Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unfortunately, nilikuwa Kati ya watu waliokuwa wanaitwa kusuruhisha... Yaani saa hii imekuwa kero... Simu za mwanamke nyingi SANA za KUTAKA suluhuUnaweza kucheka huku umeng'ata meno.Unamdhalilisha halafu unataka arudi?Hata kama ni mimi sirudi hata ipigwe mbiu ya mgambo wa kijiji.
Unaona sasa?Haya mambo ya kujawa kiburi na kuropoka kashfa huwa yanamrudi mtenda hadi anatia huruma.Unfortunately, nilikuwa Kati ya watu waliokuwa wanaitwa kusuruhisha... Yaani saa hii imekuwa kero... Simu za mwanamke nyingi SANA za KUTAKA suluhu
Mimi namfahamu mdada alikuwa amejenga nyumba yake, akapata mume akaolewa akatoka kwenye nyumba yake na kuhamia kwa mumewe nyumba ya kupanga baadae yakamshinda wakarudi kwenye nyumba ya mdada.Kuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.
Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
Hapo mwanamke anatakuwa achunge SANA kauli zake.... WANAUME TUNA INFERIORITY COMPLEX MBAYA SANA... Makazini na vijiweni tunatanianaga SANA kama unakaa nyumba iliyojengwa na mwanamke. SASA ule utani unajenga hofu moyoni.... SIKU UKIMSIKIA MKEO AKISEMA YANAYOFANANA NA ULE UTANI, ITAKUWA BALAA... life will not be the sameMimi namfahamu mdada alikuwa amejenga nyumba yake, akapata mume akaolewa akatoka kwenye nyumba yake na kuhamia kwa mumewe nyumba ya kupanga baadae yakamshinda wakarudi kwenye nyumba ya mdada.
Kesi kama hizi huishia Kula Kwa mwanamke...Niliwahi kupewa kero na mwenza kwenye nyumba ya kupanga hadi niliamua kusamehe kila kitu na kutikomea mbali huko.Baada ya miaka minne tunaonana na bibie analialia tu na kuomba msamaha ila ilikuw too late.Nilikuwa namueleza kila mara kwamba vitu anavyoviona havina thamani zaidi yangu na kuna siku nitaodoja na kumuacha yeye na hivyo vitu.Alifikiri natania.Ikaea kweli.Mdomo,mdomo ni kero mnoo!
Duh sipati picha huyo kaka aliishiwaje poziKuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.
Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
Sana tu.Na akawa analilia aniingize kingi eti tupate hata mtoto tu ili nisimuache na aibu.Niligoma na kulala mbele.Ningethubutu tu kumkubalia naamini zile kero zingeendelea hadi siku ya kufa kwangu.Aisee!Kesi kama hizi huishia Kula Kwa mwanamke...
Ni kweli aisee anatakiwa awe mnyenyekevu sanaHapo mwanamke anatakuwa achunge SANA kauli zake.... WANAUME TUNA INFERIORITY COMPLEX MBAYA SANA... Makazini na vijiweni tunatanianaga SANA kama unakaa nyumba iliyojengwa na mwanamke. SASA ule utani unajenga hofu moyoni.... SIKU UKIMSIKIA MKEO AKISEMA YANAYOFANANA NA ULE UTANI, ITAKUWA BALAA... life will not be the same
Maisha yanakuwa na maana pale unapofanikiwa almost kila nyanja... Kifamilia, Kula bata, kumiliki Mali, etc.... Unapokuwa umefanikiwa kwenye bata halafu kifamilia umefeli, utafika umri utajutia hali hiyo... Na utawaza labda Kula bata ndo kumesababisha...Ndoa na mapenzi ni ujinga wa kiwango cha lami ambao unawatesa sana waafrika! inakuwaje mtu unapigania kuwa na mateso badala ya kupigania kuwa na furaha??! kama ndoa zenyewe ndiyo hizi utapata muda wa kwenda kupanda mlima kilimanjaro lini? utapata muda wa kwenda kula bata ngorongoro lini? utapata muda na hela za kwenda likizo norway lini?! Hakuna mistake unaweza kufanya hapo dunia kama kuwekeza muda wako na hela kwenye mapenzi na ndoa!
Rafiki umeshapata asubuhi yote hiiNdoa na mapenzi ni ujinga wa kiwango cha lami ambao unawatesa sana waafrika! inakuwaje mtu unapigania kuwa na mateso badala ya kupigania kuwa na furaha??! kama ndoa zenyewe ndiyo hizi utapata muda wa kwenda kupanda mlima kilimanjaro lini? utapata muda wa kwenda kula bata ngorongoro lini? utapata muda na hela za kwenda likizo norway lini?! Hakuna mistake unaweza kufanya hapo dunia kama kuwekeza muda wako na hela zako kwenye mapenzi na ndoa!
Mtoto/watoto ndo huwa kinga yao kuu.... Yaani mtoto/watoto hutumika kukufilisi... Kiwango kinachodaiwaga na wao huzidi uhalisia.... ULIEPUKA SANA HAPO KIONGOZI....Sana tu.Na akawa analilia aniingize kingi eti tupate hata mtoto tu ili nisimuache na aibu.Niligoma na kulala mbele.Ningethubutu tu kumkubalia naamini zile kero zingeendelea hadi siku ya kufa kwangu.Aisee!
Nakandamiza hapo kwenye "kauli"!Kila mmoja achunge sana kauli za kutoa kwa mwenza wake.Ni kweli aisee anatakiwa awe mnyenyekevu sana
AiseeDada hapo huyo Me ambaye hakujua kusema No kwa aliloambiwa na mkwewe huko nyuma hapo ni lazima afungashe.
Sababu akibaki hadi huyo Mkwe wake mwenyewe aliyewapa hicho kiwanja atamshangaa kwani hapo si ajabu akaambiwa zake ni tofali tu na mabati tena akiwa mbishi zaidi si ajabu akaambiwa bomoa uondoke navyo kiwanja chetu tuachie. Teh.
Hali hiyo ikikutokea, pozimita inasomaga negative valuesDuh sipati picha huyo kaka aliishiwaje pozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hali hiyo ikikutokea, pozimita inasomaga negative values
Usicheke Z.... Kuna watu wabashida.... Inafikia point unajuta kwanini sikumuowa fulani.... Maana uliyemuowa ni BALAA tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaya sana.Unaweza kujipiga makwenzi ya kichwa ili uhakikishe kama haupo ndotoni.Movie ya kutisha sana!Hali hiyo ikikutokea, pozimita inasomaga negative values