Mkigombana atakae toka ndani ya nyumba ni nani?

Kwanza kabisa siwezi jenga kwenye kiwanja Cha mke wangu. Nitajenga nikishajenga kiwanja changu binafsi hata Kama kwa muda huo sina. Lakini nitatafuta kwa nguvu zote nijenge then nijue lingine.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Umenifanya nicheke na kunikumbusha jirani yangu moja ivi tumepanganae sehemu Moja. Sasa huyu jamaa mke au mchumba wake ndiye aliyepanga yaani mke ndiye analipa Kodi. Siku Moja wakagombana Tena ugomvi ulikuwa mkubwa jamaa akaambiwa sikutaki na uondoke aisee. Mpaka Leo jamaa Bado yupo.


Ila mwanzo kabla hatujajua chochote alikuwa anajigamba ohoo mke wangu nimemfungulia shop kubwa mwenge, Mimi nafanya kwenye kampuni fulani ivi Bunju.

Siku izi kawa mpole balaa gambo zimeisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdomo kama wotee
 
Jamaa angesepa tuu
 
We kama mwanamke mwenzie unaona yupo sahihi kweli huyo babe?
 
Haya mambo yanakera sana, ni sawa na ule utani ambao mara nyingi wanaume hawaupendi pale unapo chekwa ikiwa una ishi kwa dada yako ambaye tayari ni mke wa mtu😂😂😂.
 
Jamaa angesepa tuu
Mpka Leo yupo mkuu. Kazi yake kuu Sasa ivi Ni kupika, kufua mke anatoka job saa nne usiku. Usiombe yakukute aisee.


Mwanaume panga hata kichimba kimoja tu hata Cha elfu 10. Kama Bado Mambo hayajakaa sawa
 
Mpka Leo yupo mkuu. Kazi yake kuu Sasa ivi Ni kupika, kufua mke anatoka job saa nne usiku. Usiombe yakukute aisee.


Mwanaume panga hata kichimba kimoja tu hata Cha elfu 10. Kama Bado Mambo hayajakaa sawa
Uyo mwanaume hapo aondoke... Au akae kwa machale Sana ajipe mda apange Mambo yake yakikaa sawa apite ivii
 
Hii mbona iko wazi? Mwanaume anachapa mwendo. Huwezi kuleta kibr kwa wakwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…