Mkigombana atakae toka ndani ya nyumba ni nani?

Kwa maoni niliosoma humu ni vizuri kuoa ukiwa umepiga hatua kidogo.
 
kwa nini Afrika mkazo mkubwa ni mambo ya kuzaa na mambo ya familia?!....kwa nini mkazo kama huo hatuweki kwenye mambo ya ugunduzi, democrasia, utawala bora, sayansi e.t.c?!
Nani katia mkazo kwenye kuzaa pekee..??? Mimi nimesema kufanikiwa nyanja zote....
 

Hahahh hii kali.. Sasa jamaa akakubali au??
 
kwa nini Afrika mkazo mkubwa ni mambo ya kuzaa na mambo ya familia?!....kwa nini mkazo kama huo hatuweki kwenye mambo ya ugunduzi, democrasia, utawala bora, sayansi e.t.c?!
Hao walioacha kuyapa kipaumbele mambo ya familia na uzazi sasa hivi wana majengo ya shule yasiyo na wanafunzi. Jiwe amesema tufyatue sasa unataka tudharau amri ya rais?
 
kama ulimpendea mali itakusumbua sana ila kama ulimpenda yeye itapendeza sana Kodi ntalipa na dagaaa akubali tule maana ndio uwezo wangu..akiona maisha magumu hawezi aende kwenye nyumba zake hizo..ila Hta nikiishi kwa mwanamke ntahakikisha najenga haraka sehemu nyingine hata kama sio nyumba yamimi kuishi ntazuga ni za wapangaji tu ila Akili yangu naijua.
 

Kwaiyo mkuu wewe unachagua kwenda ngorongoro kuliko mapenzi[emoji23][emoji23]
 
Facilities zote za mambo ya familia kama vile madawa ya hospitali, hela za kuendesha nchi e. t. c tunategemea wazungu!! Sasa siku wazungu wakigoma na technolojia zao sisi waafrika tunaokomaa na kuzaa tutaishije?!
Hao walioacha kuyapa kipaumbele mambo ya familia na uzazi sasa hivi wana majengo ya shule yasiyo na wanafunzi. Jiwe amesema tufyatue sasa unataka tudharau amri ya rais?
 
Kwa nini tunadanganyana mkuu?? Afrika tofauti na kufanikiwa kwenye kuzaliana kama kumbikumbi tumefanikiwa tena kwenye nyanja gani??!
Nani katia mkazo kwenye kuzaa pekee..??? Mimi nimesema kufanikiwa nyanja zote....
 
Sasa kupata unconditional love wakati huna hata technolojia ya kutengeneza dawa ya malaria ina faida gani?! Siku wazungu wakibana na technolojia zao za kutengeneza madawa ya malaria, ukimwi, chanzo, kutupa misaada ya fedha na kadhalika huoni kwamba hicho kipaumbele chetu cha kuzaliana kama kumbikumbi kitaangukia pua?! Afrika tunafeli wapi kuelewa vitu vidogo sana kama hivi?!
Mapenzi na ndoa is the most reliable asset. Nenda Norway, panda mlima Kilimanjaro, nenda Ngorongoro lakini ni kwenye ndoa na mapenzi utakako pata unconditional love that money can’t buy.
 
Uncle ndiyo technolojia yetu Tanzania ya dawa ya malaria? Uncle ndiyo technolojia yetu Tanzania ya dawa ya ukimwi? Uncle ndiyo utawala bora wetu Tanzania? uncle ndiyo technolojia yetu ya usafiri Tanzania? uncle ndiyo technolojia yetu ya computer Tanzania?uncle ndiyo itazuia budget deficit katika nchi yetu? uncle ndiyo kiwanda chetu cha nguo Tanzania?! Umeona akili zetu za kiafrika zilivyo poor sasa!! Yaani hatuna muda wa kuwaza wala wa kupigania mambo makubwa na ya msingi!!
Mmh shemeji na kaka yako angekua hivyo mbona usingeitwa uncle.
 
Wewe umesema kuwa tunatakiwa kufanikiwa katika nyanja zote, mimi nikakuuliza swali kwamba Afrika tofauti na kufanikiwa katika kuzaliana kama kumbikumbi tumefanikiwa tena katika lipi? wapi nimegeuza mtazamo?
Kiongozi mtazamo wako usiugeuze ionekane ni mtazamo wangu
 
Mume ila sio wote ila inategemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…