Mkimbize Mzee Warioba London achekiwe, thoroughly checkup ya afya yake. Achana na hospital za hapa watamfuata huko wahuni

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao.

Mkimbizeni popote be it London, , USA, Switzerland and the like!

MCC wahuni!
 
Wakimpeleka Mzena baaass kimama atatoa amri auawe
 
Wazo zuri, najiuliza nani sasa wakumpeleka huko?

Hawa wasiopenda kusikia anavyoongea ukweli, au ndugu na jamaa zake wa karibu?

Ikilazimu hata kama michango waitapatikana kwa jambo hilo.

Mzee Waeioba ni tunu ya hili taifa, hasa kwa ile Rasimu ya Katiba Mpya aliyotuandikia, naamini iko siku itakuwa Katiba mpya ya JMT.
 
Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao.

Mkimbizeni popote be it London, , USA, Switzerland and the like!

MCC wahuni!
Ni nani hao ambao unawaambia wamkimbize warioba London? Na kwa nini iwe London? Kwani wanasiasa hawafi London au?
 
Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao.

Mkimbizeni popote be it London, , USA, Switzerland and the like!

MCC wahuni!

Tunamuombe mzee Warioba apone alaka🙏

Lkn zana ya kuwa Serikali inaweza kujisumbua na Mzee kama Warioba tena mwenye Umri ule tena mwenye Afya ile ni kichekesho
Cha Kichochezi tu hakuna zaidi ✍️
 
Kumbukumbu kashkash na Mh Paul Makonda napo ilikuwa Rais ni Muislam mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ❗️
 
Mzee akiwa Rais Mkristo japo anatulia nyumbani kula vizuri lkn kila Rais akiwa ni Muislamu yupo na Matamko

Kwasasa Kanisa Kotoliki limeacha Matamko baada kuona Watu wameshtuka

Sasa Matamko yapo kwa Mzee Warioba na Mama Tibaijuka !!
 
Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao.

Mkimbizeni popote be it London, , USA, Switzerland and the like!

MCC wahuni!
Akili zako zilishastaafu siku nyingi, huna akili! Wengine wanavyokufa nani anawaua? Leo amefariki mume wa Rais, nani kamuua? Tumieni akili mnajidharaulisha. Warioba ni babu asiumwe au asife yeye ni nani? Ndio maana mnaitwa nyumbu, zero brain!
 
Back
Top Bottom