- Thread starter
- #41
nchimbi alichoka? acha hizo ewe kijanaACHENI UJINGA . MTU YOYOTE ANAWEZA CHOKA. TUMUOMBEE AFYA NJEMA NA WATU WOTE
nchimbi alichoka? acha hizo ewe kijanaACHENI UJINGA . MTU YOYOTE ANAWEZA CHOKA. TUMUOMBEE AFYA NJEMA NA WATU WOTE
Inasikitisha sana.Serikali ya huyu mzanzibari inawachukia sana watanganyika wanaojitambua kama mzee warioba.Mzee wanataka kumpoteza ili wasikosolewe.Mic wameiwekea sumu watekaji wa sa100.