PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine.
Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu Umatumbini. Hivyo wakati wenzao wanakamatia bawa kurudi ma nchini mwao, wao wakaliunga bogi na wakimbizi kuelekea huko Udachi
Sasa pale udachi serikali ikawa inaskuti, nini cha kufanya na wale wahanga. Maana Wadachi wao waliona ni shega tu kuwachukua wale buku mbiki na jiti tatu, lakini haikua tayari kuwachukua wale Jero. Huku na huku swala likafikishwa kwa Pilato ili aweze kulifanyia maamuzi.
Kule kwa Pilato maamuzi yakatoka kwamba huyo Mbongo na wengine jeero wote ambao ni third country, yaani countries other than Ukraine, wanatakiwa kurudishwa kwenye ma maza land yao na kama atataka kuendelea kubaki Udachi baso ni vyema aombe asylum, maana ukimbizi hana sifa.
So, sasa hivi tumemwambia mwana aombe asylum faster.