Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Moja ya athari ya kumfunga Mbowe (iwapo watatimiza nia hio ovu), wajue tu ni kufanya viongozi wote wa CHADEMA waliobalki wasione ni hasara kwa wao kumfuata Mbowe magereza na zaidi itachochea harakati za kudai katiba mpya huku wakiwa tayari kwa lolote.
Msilolijua ni kuwa, kadri mnavyoendelea kuwakamata, mnawafanya waone hio sasa ni sehemu ya maisha yao na matokeo yake hali hii ya kuwakamata hovyo hovyo, sasa inageuka kuwa kichochea cha harakati za kudai demokrasia pamoja na katiba mpya bila hofu wala woga.
Ujasiri wanaoujenga, baada ya muda utahamia kwa wananch(watawaambukiza), na hapo ndio tutakuwa tumefika pazuri katika hizi harakati na haya mapambano.
Mkitaka kujua viongozi wa CHADEMA hawaogopi tena kwenda jela au mahabusu, someni hii tweet ya Patrick Assenga hapa chini: