Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
hakika, ngoja tunyamaze wakati mkimegeana keki ya taifa!Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na nyie mezani kumalizia vilivyobaki sawa ndugu zangu?
Asante kwa kutuelewa.hakika, ngoja tunyamaze wakati mkimegeana keki ya taifa!
Ponjori wewe ni wa kukamata na kukata miguuWakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na nyie mezani kumalizia vilivyobaki sawa ndugu zangu?
Mimi au Abduli?Ponjori wewe ni wa kukamata na kukata miguu
Abdully adhabu yake ni gharika la moto. Mtoto mkora sana yule. Hajawahi kuchaguliwa kwenye uongozi ila kimsingi ndiye remote ya maamuzi mengi ya hovyo kwa sasa akiwa na shemeji yake kifua kipana.Mimi au Abduli?
Silence surrenders public responsibilitiesWakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na nyie mezani kumalizia vilivyobaki sawa ndugu zangu?
https://www.facebook.com/Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na nyie mezani kumalizia vilivyobaki sawa ndugu zangu?
Ukitaka usisemwe vibaya au kukosolewa basi uongoze ng'ombe si binaadamu. Binaadamu alipewa uwezo wa kuelewa jema na baba. Bado akapewa uwezo wa kuamua vinginevyo.Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na nyie mezani kumalizia vilivyobaki sawa ndugu zangu?
Tukae kimya wakati watu wanatekwa, wanabakwa, wanalawitiwa, wanauawa na kutupwa porini na polisi na usalama wa taifa. Hivi wewe una akili kweli au matope kichwani? Wewe ni mpumbavu, ndiyo sifa yako kubwa.Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.