Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15.

Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅

Usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
 
He Mkinga tena.....Kafanyaje.?

Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! 😅😅
 
Acha kutudanganya mkuu.

Kuna viwanda vingapi vya maji vya wakinga.

Na tupe takwimu za utajiri kwa mkoa wa Iringa?? Ni ya ngapi kitaifa??

Kwenye orodha ya matajiri hapa Tanzania , wakinga ni wangapi?? Hakuna.

Stori za kuvuta muda tu hizi.
 
He Mkinga tena.....Kafanyaje.?

Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! 😅😅
Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
 
He Mkinga tena.....Kafanyaje.?

Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! [emoji28][emoji28]

[emoji1787]
 
Discipline gani tena, au ya kulala na njaa?
Biashara haina kanuni ndio maana hata anayefundisha wanafunzi wa PhD ya biashara anategemea mshahara wa ml. 6 badala ya kuvuna pesa kutokana na ELIMU yake
Kama huna Discipline kamwe hautafanikiwa kwenye biashara.

Wakinga wengi ni watu wa kujinyima sana na wanaheshimu sana kazi.
 
Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.
Bila kujali kabila yeyote mwenye Discipline ya kazi/biashara huwa anafanikiwa.

Ila kwa vile wakinga na wachagga huwa wanarithishana elimu ya nidhamu katika biashara kwa wingi zaidi ndio maana unaona wanafanikiwa zaidi.
 
Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
Kabxaaa mkuuu..waha si wa mchezo mchezo...yaan hata kama kafunga duka unakuta wateja wameweka folen wanamsubiri...jichanganye ufungue duka jiran yake....atasafir kwenda kigoma...ndan ya wk moja....kirud na ww muda huo utakuwa unatafuta gar ya kuja kuhamisha vitu
 
Back
Top Bottom