Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Achana na siri, tuelezee password zake tujifunze kidogoPesa ni Siri na pesa ina password zake
Discipline gani tena, au ya kulala na njaa?Discipline , Discipline , Discipline.
Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.He Mkinga tena.....Kafanyaje.?
Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! π π
Hivi huu ushetani ni Africa tu au mpaka kwa kina Bill gate.Kuna mstari mwembamba sana kati ya pesa na ushetani...
He Mkinga tena.....Kafanyaje.?
Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! [emoji28][emoji28]
Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.Discipline , Discipline , Discipline.
Huo ni mfano tu wewe Tomaso. Halafu Wakinga kwao Njombe sio IringaAcha kutudanganya mkuu.
Kuna viwanda vingapi vya maji vya wakinga.
Na tupe takwimu za utajiri kwa mkoa wa Iringa?? Ni ya ngapi kitaifa??
Kwenye orodha ya matajiri hapa Tanzania , wakinga ni wangapi?? Hakuna.
Stori za kuvuta muda tu hizi.
Kama huna Discipline kamwe hautafanikiwa kwenye biashara.Discipline gani tena, au ya kulala na njaa?
Biashara haina kanuni ndio maana hata anayefundisha wanafunzi wa PhD ya biashara anategemea mshahara wa ml. 6 badala ya kuvuna pesa kutokana na ELIMU yake
Haswaaaaaaah.Pesa ni Siri na pesa ina password zake
Bila kujali kabila yeyote mwenye Discipline ya kazi/biashara huwa anafanikiwa.Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.
Kabxaaa mkuuu..waha si wa mchezo mchezo...yaan hata kama kafunga duka unakuta wateja wameweka folen wanamsubiri...jichanganye ufungue duka jiran yake....atasafir kwenda kigoma...ndan ya wk moja....kirud na ww muda huo utakuwa unatafuta gar ya kuja kuhamisha vituNenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
Usilete mifano ambayo haina uhalisia unapoleta facts zako zijadiliwe.Huo ni mfano tu wewe Tomaso. Halafu Wakinga kwao Njombe sio Iringa