Walewale tuKaribu Manchester bwashee , ni mwendo wa ku dance tuView attachment 3537591
Walewale tu
popote nikizungumzia football mnifunge mdomo na gundi
Hahaha leta hilo zima tulinyoosheπππGari bovu hilo
Wakati utopolo wanasajili wachezaji wa maana nyie mnaenda okoteza walevi wa pombe chafuπGari bovu hilo
Kwenye boli kawaida wewe leta timu yako kunya ainyeeaaah msimu jana ilikua chopli chopli ushuke daraja
Bwashee kwa simba utateseka sana wale wazee viongozi walishapitwa na wakati , kiukweli ni aibu sana hata kubishana na utokile ni kikundi cha wahuni tu
Ushaachana na mpira haifai kujua πThimbaaaa ndio timu gani?