Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
Umechelewa sana kufanya uamuzi huu .Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
Lol. Mbona umetuambia kitu ambacho hakiwezekani sa.Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
Miaka kumi nani kakuambia utafika? Kuvuta sasa hivi ni nje njeSitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
Polee 😂😂😂andaa gundi 😂
Achana na mpira utakufakudadadeki
La Barcelona