Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Huu ni utajiri au umasikini?
Shule zinakaribia kufunguliwa, na nina watoto zaidi ya 13 na wote wanasoma zile shule wanazofundisha 'a for apple'.
Kila mmoja anatakiwa alipiwe deni la ada iliyobakia 1,500,000/=
NIkipiga mahesabu hapa, nachanganikiwa zaidi; 13 x 1,500,000= 19,500,000/=
Bado nadaiwa kodi ya nyumba, hela ya kula, hela ya mavazi, hela ya michepuko, hela ya bia n.k
Na siku zimebaki chache sana, hapa natafakari ni bora ningewapeleka kwenye zile shule zetu za kidumu na mfagio.
Dah, aya maisha aya, kupanga ni kuchagua.
Mkiona huko njiani naongea mwenyewe, mjuwe nimeanza kuchanganikiwa na ada za watoto.