Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Unanisaidiaje kwenye ada?Mkiona nimekaa katikati ya mji na kuanza kupiga nyeto mubashara, mjue kuwa nafanya ibada.
Hivyo msinishangae.
Hizi shule za hapa Bongo hakuna ufundishaji wowote, Ni upigaji tu wa hela.Alikazia Sana Sana
Shida Mzazi
Sisi wazazi ni wabishi sana, tunawapeleka watoto wetu kimashindano bila kuangalia athari za kiuchumi.Alikazia Sana Sana
Shida Mzazi
Huo ni ubinafsi, tafuta majukumu uchangamshe ubongo kufikiri.
Litatokea jina gani?Pole sana mkuu tuma lipa no
Baba yao ni mimiHao watoto kawasemee kwa babazao
Kuna kaukweli hapaHizi shule za hapa Bongo hakuna ufundishaji wowote, Ni upigaji tu wa hela.
Weka no hapa sio mpka ujue jinaLitatokea jina gani?
Mkuu kuna raha ya kusomesha wewe utashangaa hiyo pesa unaipata from nowhereHuu ni utajiri au umasikini?
Shule zinakaribia kufunguliwa, na nina watoto zaidi ya 13 na wote wanasoma zile shule wanazofundisha 'a for apple'.
Kila mmoja anatakiwa alipiwe deni la ada iliyobakia 1,500,000/=
NIkipiga mahesabu hapa, nachanganikiwa zaidi; 13 x 1,500,000= 19,500,000/=
Bado nadaiwa kodi ya nyumba, hela ya kula, hela ya mavazi, hela ya michepuko, hela ya bia n.k
Na siku zimebaki chache sana, hapa natafakari ni bora ningewapeleka kwenye zile shule zetu za kidumu na mfagio.
Dah, aya maisha aya, kupanga ni kuchagua.
Mkiona huko njiani naongea mwenyewe, mjuwe nimeanza kuchanganikiwa na ada za watoto.
Piga nyeto na mambo yako yatafunguka mkuu.Unanisaidiaje kwenye ada?
Nakutumia namba ya jf pesa sasa hiviWeka no hapa sio mpka ujue jina
We unataka pesa au jina?
SafiiNakutumia namba ya jf pesa sasa hivi