Mkiona kimya mjue nimepigwa BAN...!

Mkiona kimya mjue nimepigwa BAN...!

kumbe jana ulikua unatishia kumpa fisi butcher akulindie mbona muziki wake ungekukimbiza unaleta masihala kwenye jukwaa la wapiga kura na wagombea hehehehehe aisifuye mvua imemnyea.
 
kila la kheri mkuu. Unapojilipua wengine ndio wanapata ukombozi
 
Kipipi ulikuwa hujui kama Invisible ni kaka mkubwa? ndo maana tunafanana sema hapo nilikuwa sijatupia miwani zangu
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu naenda kukorofisha kule jukwaa la siasa.

Nishachoka na maisha, na sasa nimeamua kujilipua.............
halafu nimeona Invisible ka'like hapo, ishara kuwa yupo macho na posts zako zote leo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom