Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Nov 25, 2012 #61 kumbe jana ulikua unatishia kumpa fisi butcher akulindie mbona muziki wake ungekukimbiza unaleta masihala kwenye jukwaa la wapiga kura na wagombea hehehehehe aisifuye mvua imemnyea.
kumbe jana ulikua unatishia kumpa fisi butcher akulindie mbona muziki wake ungekukimbiza unaleta masihala kwenye jukwaa la wapiga kura na wagombea hehehehehe aisifuye mvua imemnyea.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,523 Reaction score 30,053 Nov 25, 2012 #62 Haya...
chamlungu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 326 Reaction score 340 Nov 25, 2012 #63 kila la kheri mkuu. Unapojilipua wengine ndio wanapata ukombozi
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Nov 25, 2012 #64 Kipipi ulikuwa hujui kama Invisible ni kaka mkubwa? ndo maana tunafanana sema hapo nilikuwa sijatupia miwani zangu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kipipi ulikuwa hujui kama Invisible ni kaka mkubwa? ndo maana tunafanana sema hapo nilikuwa sijatupia miwani zangu
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,362 Reaction score 9,882 Nov 25, 2012 #65 Mtambuzi said: Kuna kitu naenda kukorofisha kule jukwaa la siasa. Nishachoka na maisha, na sasa nimeamua kujilipua............. Click to expand... halafu nimeona Invisible ka'like hapo, ishara kuwa yupo macho na posts zako zote leo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mtambuzi said: Kuna kitu naenda kukorofisha kule jukwaa la siasa. Nishachoka na maisha, na sasa nimeamua kujilipua............. Click to expand... halafu nimeona Invisible ka'like hapo, ishara kuwa yupo macho na posts zako zote leo.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Nov 25, 2012 #66 C6 said: Kipipi ulikuwa hujui kama Invisible ni kaka mkubwa? ndo maana tunafanana sema hapo nilikuwa sijatupia miwani zangu Click to expand... Macho hata ya bundi yana uafadhali . . . . khaaa!!! :bolt:
C6 said: Kipipi ulikuwa hujui kama Invisible ni kaka mkubwa? ndo maana tunafanana sema hapo nilikuwa sijatupia miwani zangu Click to expand... Macho hata ya bundi yana uafadhali . . . . khaaa!!! :bolt: