Mkiona kwenye vibanda umiza mashabiki wa Simba mpo wenyewe katika mechi yenu na Plateau United msishangae!

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Kwa maelezo ya huyo msemaji na mbwambwajaji wa watani zetu ukiyafanyia kazi kama yalivyosema unaona kabisa pale wana mropokaji kiwango cha lami.

Mara watani wanajikuta wapo wenyewe si uwanja wa taifa kwa mkapa si vibanda umiza.

Mpira wataangalia kama wapo kwenye msiba hakika nasema.

Kipindi hicho sisi tumejifungia majumbani kwetu kutazama mpira tukitekeleza tamko la mwana habari wao.

Kila la kheri Plateau United tutawatazama tukiwa majumbani kwetu hatupendi vurugu Wananchi.
 
Kauli za Haji Manara sio za kiungwana

Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki

Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita

Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
 
Huyo zeru2 hana akili ana vurugu za mawazo.
 
Kauli za Haji Manara sio za kiungwana

Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki

Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita

Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Manara ni mropokaji wa kiwango cha SGR
 
Tutaingia uwanjani aende akatushitaki polisi kwa kuihujum timu yake🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anapoteza weledi wa kazi kwa ushabiki maandazi!
Kauli za Haji Manara sio za kiungwana

Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki

Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita

Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
 
Unaunga mkono 'Utumbo' wa msemaji wenu mkuu?
Nendeni mkashitaki, mkijichanganya tu, mnaumia!! Nyie mlivokuwa mnawapiga mashabiki wa simba mliona raha, !! Sasa jichanganyeni mpate kitu roho inataka, wapuuzi nyie
 
Kauli za Haji Manara sio za kiungwana

Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki

Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita

Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
👍👍
 
Wamatopeni Fc wenyewe imebidi wamkatae kwa uozo aliuzungumza juzi.
Tutaingia uwanjani aende akatushitaki polisi kwa kuihujum timu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namheshimu sana kaka Manara....

Cha ajabu kila uchao anadhihirisha "tabia za hovyo na hooliganism"...

Hivi hajui kuwa KAULI kama zile dhidi yetu mashabiki wa YANGA ni kutengeneza CHUKI ambayo inaweza hata kusababisha MASHABIKI KUPIGANA na hata STAMPEDE ikitokea makundi mawili yanakutana KIHASIMU?!!!

Hivi hiyo siku ikitokea baadhi ya mashabiki ya YANGA tukiwa na jezi zetu halafu TUPIGWE NA KUJERUHIWA...ataepuka LAWAMA?!!!

Hivi hajui kuwa hata VITA na MACHAFUKO huanza na SLOGANS km zile alizozitema JUZI?!!!!

Manara badilika kaka.....
Manara una heshima zaidi ya hayo ufanyayo....

Competition ya KIMPIRA na KIBIASHARA haitakiwi kuwa HIVYO...

AKILI NI NYWELE

Muuza Al Kasus
Tandale
 
Back
Top Bottom