Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Kwa maelezo ya huyo msemaji na mbwambwajaji wa watani zetu ukiyafanyia kazi kama yalivyosema unaona kabisa pale wana mropokaji kiwango cha lami.
Mara watani wanajikuta wapo wenyewe si uwanja wa taifa kwa mkapa si vibanda umiza.
Mpira wataangalia kama wapo kwenye msiba hakika nasema.
Kipindi hicho sisi tumejifungia majumbani kwetu kutazama mpira tukitekeleza tamko la mwana habari wao.
Kila la kheri Plateau United tutawatazama tukiwa majumbani kwetu hatupendi vurugu Wananchi.