Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Huyo zeru2 hana akili ana vurugu za mawazo.Kauli za Haji Manara sio za kiungwana
Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki
Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita
Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Aisee, kauli zake tata sana mkuuHuyo zeru2 hana akili ana vurugu za mawazo.
Manara ni mropokaji wa kiwango cha SGRKauli za Haji Manara sio za kiungwana
Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki
Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita
Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Hamna ubavu huo nyinyi utopolo
Kauli za Haji Manara sio za kiungwana
Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki
Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita
Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Kifupi Manara kazingua sana,lakini pia Kuna uzi humu unahamasisha ujinga huu
Nendeni mkashitaki, mkijichanganya tu, mnaumia!! Nyie mlivokuwa mnawapiga mashabiki wa simba mliona raha, !! Sasa jichanganyeni mpate kitu roho inataka, wapuuzi nyie
👍👍Kauli za Haji Manara sio za kiungwana
Na chuki anazopandikiza ndio zinasababisha vurugu kwa mashabiki
Mimi kama mimi sishabikii vurugu katika soka, naamini katika amani na upendo, utani wa jadi sio vita
Hata kama ulikuwa na ajenda yako ya kutafuta kiki ili ujaze watu (30,000) jaribu kutumia maneno yasiyopandikiza chuki na ubaguzi kwa mashabiki
Tutaingia uwanjani aende akatushitaki polisi kwa kuihujum timu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]