Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Aishi Manula
2. Kibwana Shomary
3. Mohammed Hussein
4. Dickson Job
5. Kennedy Juma
6. Jonas Mkude
7. Abubakary Salum
8. Feisal Salum
9. Anwar Jabir
10. John Boko
11. Farid Mussa

Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi..

Farid Mussa na John Boko wasitolewe kwani Kinyota ( Kinujumu ) leo ndiyo wanang'aa na hata Magoli wanaweza Kufunga Wao au Wakasababisha wao.

Tunashinda Leo.
 
Farid musa amemzidi nini Tepsie Evance?
 
Hiyo ni ndoto ya mchana tusubiri kichapo timu yetu haichezi kimkakati
 
Mech inaanza saa ngap mkuu??
 
Huyo Kened Juma hajacheza hata game moja sijui aliitwa kwa kigezo kipi
 
Timu siku inaondoka pale airport aibu kuu, utafikiri kuku wamekutana kula jorowe. Timu unawaangalia kama warugaruga hata kits sio uniform aisee aibu tupu. Tutarajie kutolewa tena kwa kipigo
 
Hatimaye Taifa Stars imeumaliza mwendo wa kuelekea Chan.
 
Kidogo ungepatia kwenye 3-1, ungesema 3-0 wenye akili tungekuelewa.
 
Kwani Kuna aliyetarajia leo kuwa tutashinda hata apangwe Nani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…