Mkishinda nyie ni uwezo, tukishinda sisi ni Bahasha

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Ifike wakat matokeo ya mpira yaheshimiwe bwana Mwishokambi juzi mmefungwa mbona hujasema Kama Azam wametembeza bahasha

Lakn yanga ikishinda akili yako inawaza bahasha TU nyie ndio mnaoenda uwanjan na matokeo yenu mambo yakigeuka mnachanganyikiwa na kuanza kuvaa chupi kichwan

Yanga hii imekufunga mara 2 mfululizo kupitia AZAM CUP lakn Wala hujasema kuhusu bahasha

Ndyo nakili yanga n ya humuhumu kimataifa bado tunajifunza kupata uzoefu lakn ushind wetu uheshimiwe tafadhari

Hatujafungwa mech 44 had Sasa katika ligi sio Jambo dogo mzee Kama rahis mngefanya ninyi tuone

Juz mlisimama sjui dakika ya 24 kusherehekea yanga kutocheza hatua ya makund kwa miaka 24 mfululizo mkashau kuwa game yenu itawapa uchungu mwishon dhid ya Azam

ILA MGUNDA BONGE LA KOCHA ASEE


Bwana Mwishokambi naona kwa matokeo ya leo huko uliko naona pemben upo na ndimu kabisa
 
Kipimo mechi za kimataifa.
Achana na mechi za michongo na unbeaten ya mlungula
 

Kwa penalty hizi za mchongo asee sio bahasha ni takrima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa penalty hizi za mchongo asee sio bahasha ni takrima [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka mwingine wa tabu huu! Leo tunatengeneza rasmi gap la point 6!

Maana kuna dalili za kutosha tu za kupoteza kwenye mechi yenu na Mtibwa, ambayo iko 🔥🔥 kweli kweli kwenye hizi siku za karibuni.
 
Mwaka mwingine wa tabu huu! Leo tunatengeneza rasmi gap la point 6!

Maana kuna dalili za kutosha tu za kupoteza kwenye mechi yenu na Mtibwa, ambayo iko [emoji91][emoji91] kweli kweli kwenye hizi siku za karibuni.
Kuingia makundi Caf champions league ni billion 1.4 mshindi wa ligi kuu ni million 100 kweli kupanga ni kuchagua.
 
Sasa kwa matokeo ya leo utasema yanga kashinda kwa uwezo wake!!??
 

Vipi kimataifa mbona unashindwa kushinda kama hapa bongo tatizo nini?

Mpaka unasaidiwa.
 
Kuingia makundi Caf champions league ni billion 1.4 mshindi wa ligi kuu ni million 100 kweli kupanga ni kuchagua.
Sio kweli

Prize money kwa Bingwa TZ

NBC 100M
AZAM BONUS KWA BINGWA 500M
AZAM TV RIGHTS KILA MWEZ @40m kwa miez 8-10 jumla 400m

PIGA JUMLA BEI GAN HIZI HATA NAMUNGO AKIWA BINGWA ANAPEWA

AZAM atampa Yanga BILLION 3 IWAPO ATAMALIZA NAFAS 3 ZA JUU

PIGA JUMLA

HAPO SIJAWEKA 100M ZA SPORTPESA NA 100M ZA TAIFA GAS
 
Twende taratibu mdhamini mkuu wa ligi anatoa bei gani hata tukipiga hesabu hizo unazotaka wewe bado mil 500 ni ndogo kwenye billion 1.4 inaingia mara 3 hapo approximately
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…