Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Tuonyeshe kombe uliloshinda kimataifaVipi kimataifa mbona unashindwa kushinda kama hapa bongo tatizo nini?
Mpaka unasaidiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuonyeshe kombe uliloshinda kimataifaVipi kimataifa mbona unashindwa kushinda kama hapa bongo tatizo nini?
Mpaka unasaidiwa.
Kufanikiwa sio kuchukua kombe tu ndio maana kila hatua kuna zawadi. Kitu rahisi hivyo uto hamuelewi.Tuonyeshe kombe uliloshinda kimataifa
Kama hiiKwa penalty hizi za mchongo asee sio bahasha ni takrima [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio 500m ,Bingwa wa TZ anakunja 1B approximately hata awe namungo au ihefuTwende taratibu mdhamini mkuu wa ligi anatoa bei gani hata tukipiga hesabu hizo unazotaka wewe bado mil 500 ni ndogo kwenye billion 1.4 inaingia mara 3 hapo approximately
Ondoa hiyo tv right maana hata aliyeshuka daraja anapata.Sio 500m ,Bingwa wa TZ anakunja 1B approximately hata awe namungo au ihefu
NBC 100M
TV RIGHTS 400M
BONUS 500M
TV rights haiondolewi ,unajua pale EPL Bingwa anachukua Bei gan?Ondoa hiyo tv right maana hata aliyeshuka daraja anapata.
Bakiza hiyo 100m na hiyo 500m ambayo mshindi wa pili anapata bonus 250m, 50m kwa kuwa mshindi wa pili, hivyo bingwa anachopata kwenye ligi ni 300m.
Ukiingia kwenye makundi unakunja 1.4 B, hivyo ukifika makundi pekee unamzidi bingwa zaidi ya 1B.
Kupanga ni kuchagua, kila mmoja aendelee kupambana ajuavyo
Dah kweli elimu inahitajika mimi sitaki uchange na hizo bonus achana nazo main sponsor anatoa bei gani hizo bonus za AZAM achana nazo NBC wanatoa bei kwa mshindi?Sio 500m ,Bingwa wa TZ anakunja 1B approximately hata awe namungo au ihefu
NBC 100M
TV RIGHTS 400M
BONUS 500M
Hawajafika mbinguni ingawa hamu ya kufika huko wanayo sana ila wanaishia kwny sayari kadhaa.Tuonyeshe kombe uliloshinda kimataifa
Mimi nataka nikupe elimu Tena kwa mifano ya Ligi kubwa DunianiDah kweli elimu inahitajika mimi sitaki uchange na hizo bonus achana nazo main sponsor anatoa bei gani hizo bonus za AZAM achana nazo NBC wanatoa bei kwa mshindi?
hahaaaa,habari za huko peramihoIfike wakat matokeo ya mpira yaheshimiwe bwana Mwishokambi juzi mmefungwa mbona hujasema Kama Azam wametembeza bahasha
Lakn yanga ikishinda akili yako inawaza bahasha TU nyie ndio mnaoenda uwanjan na matokeo yenu mambo yakigeuka mnachanganyikiwa na kuanza kuvaa chupi kichwan
Yanga hii imekufunga mara 2 mfululizo kupitia AZAM CUP lakn Wala hujasema kuhusu bahasha
Ndyo nakili yanga n ya humuhumu kimataifa bado tunajifunza kupata uzoefu lakn ushind wetu uheshimiwe tafadhari
Hatujafungwa mech 44 had Sasa katika ligi sio Jambo dogo mzee Kama rahis mngefanya ninyi tuone
Juz mlisimama sjui dakika ya 24 kusherehekea yanga kutocheza hatua ya makund kwa miaka 24 mfululizo mkashau kuwa game yenu itawapa uchungu mwishon dhid ya Azam
ILA MGUNDA BONGE LA KOCHA ASEE
Bwana Mwishokambi naona kwa matokeo ya leo huko uliko naona pemben upo na ndimu kabisa
Hakuna zawadi Kwa kila hatua ni uongo, Ile inayotolewa Kwa kila hatua ni pesa ya maandalizi kama usafiri, gharama za kulala hotel..Zawadi unatolewa Kwa finalists tuKufanikiwa sio kuchukua kombe tu ndio maana kila hatua kuna zawadi. Kitu rahisi hivyo uto hamuelewi.
Waambiage hao......Ifike wakat matokeo ya mpira yaheshimiwe bwana Mwishokambi juzi mmefungwa mbona hujasema Kama Azam wametembeza bahasha
Lakn yanga ikishinda akili yako inawaza bahasha TU nyie ndio mnaoenda uwanjan na matokeo yenu mambo yakigeuka mnachanganyikiwa na kuanza kuvaa chupi kichwan
Yanga hii imekufunga mara 2 mfululizo kupitia AZAM CUP lakn Wala hujasema kuhusu bahasha
Ndyo nakili yanga n ya humuhumu kimataifa bado tunajifunza kupata uzoefu lakn ushind wetu uheshimiwe tafadhari
Hatujafungwa mech 44 had Sasa katika ligi sio Jambo dogo mzee Kama rahis mngefanya ninyi tuone
Juz mlisimama sjui dakika ya 24 kusherehekea yanga kutocheza hatua ya makund kwa miaka 24 mfululizo mkashau kuwa game yenu itawapa uchungu mwishon dhid ya Azam
ILA MGUNDA BONGE LA KOCHA ASEE
Bwana Mwishokambi naona kwa matokeo ya leo huko uliko naona pemben upo na ndimu kabisa
Tv rights wanapewa timu zoteMimi nataka nikupe elimu Tena kwa mifano ya Ligi kubwa Duniani
TV rights haiondolewi ,unajua pale EPL Bingwa anachukua Bei gan?
Dunian kote prize money Ni pamoja na TV rights
Duh..Shafii Dauda ni mtu muhimu sana kwenye mpira wa Tanzania??
Nyie watu ni wapumbavu kweli, mbona sasa hivi Yanga hawapewi hiyo hela ya hoteli?Hakuna zawadi Kwa kila hatua ni uongo, Ile inayotolewa Kwa kila hatua ni pesa ya maandalizi kama usafiri, gharama za kulala hotel..Zawadi unatolewa Kwa finalists tu
Mkuu zingatia ujumbe hayo mengine achana nayoDuh..Shafii Dauda ni mtu muhimu sana kwenye mpira wa Tanzania??
Umuhimu upi? Kaleta impact gani?