Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Yote kwa yote ni furaha kwa mashabiki.
Kimataifa ni. Kivuli cha kuzugia coz huko mechi ni chache kuliko hapa nyumbani na mbaya zaidi ni huko kimataifa timu zetu hazina malengo ha kufika fainali (kwenye furaha zaidi).