Mkishinda nyie ni uwezo, tukishinda sisi ni Bahasha

Twende taratibu mdhamini mkuu wa ligi anatoa bei gani hata tukipiga hesabu hizo unazotaka wewe bado mil 500 ni ndogo kwenye billion 1.4 inaingia mara 3 hapo approximately
Sio 500m ,Bingwa wa TZ anakunja 1B approximately hata awe namungo au ihefu

NBC 100M
TV RIGHTS 400M
BONUS 500M
 
Ondoa hiyo tv right maana hata aliyeshuka daraja anapata.
Bakiza hiyo 100m na hiyo 500m ambayo mshindi wa pili anapata bonus 250m, 50m kwa kuwa mshindi wa pili, hivyo bingwa anachopata kwenye ligi ni 300m.
Ukiingia kwenye makundi unakunja 1.4 B, hivyo ukifika makundi pekee unamzidi bingwa zaidi ya 1B.
Kupanga ni kuchagua, kila mmoja aendelee kupambana ajuavyo
 
TV rights haiondolewi ,unajua pale EPL Bingwa anachukua Bei gan?

Dunian kote prize money Ni pamoja na TV rights
 
Sio 500m ,Bingwa wa TZ anakunja 1B approximately hata awe namungo au ihefu

NBC 100M
TV RIGHTS 400M
BONUS 500M
Dah kweli elimu inahitajika mimi sitaki uchange na hizo bonus achana nazo main sponsor anatoa bei gani hizo bonus za AZAM achana nazo NBC wanatoa bei kwa mshindi?
 
Tuonyeshe kombe uliloshinda kimataifa
Hawajafika mbinguni ingawa hamu ya kufika huko wanayo sana ila wanaishia kwny sayari kadhaa.
Wanastahili pongezi zaidi waliofika sayari nyingine kuliko walioishia mwezini na kurudi duniani.
 
Dah kweli elimu inahitajika mimi sitaki uchange na hizo bonus achana nazo main sponsor anatoa bei gani hizo bonus za AZAM achana nazo NBC wanatoa bei kwa mshindi?
Mimi nataka nikupe elimu Tena kwa mifano ya Ligi kubwa Duniani

TV rights haiondolewi ,unajua pale EPL Bingwa anachukua Bei gan?

Dunian kote prize money Ni pamoja na TV rights
 
Ifike wakat matokeo ya mpira yaheshimiwe bwana Mwishokambi juzi mmefungwa mbona hujasema Kama Azam wametembeza bahasha

Lakn yanga ikishinda akili yako inawaza bahasha TU nyie ndio mnaoenda uwanjan na matokeo yenu mambo yakigeuka mnachanganyikiwa na kuanza kuvaa chupi kichwan

Yanga hii imekufunga mara 2 mfululizo kupitia AZAM CUP lakn Wala hujasema kuhusu bahasha

Ndyo nakili yanga n ya humuhumu kimataifa bado tunajifunza kupata uzoefu lakn ushind wetu uheshimiwe tafadhari

Hatujafungwa mech 44 had Sasa katika ligi sio Jambo dogo mzee Kama rahis mngefanya ninyi tuone

Juz mlisimama sjui dakika ya 24 kusherehekea yanga kutocheza hatua ya makund kwa miaka 24 mfululizo mkashau kuwa game yenu itawapa uchungu mwishon dhid ya Azam

ILA MGUNDA BONGE LA KOCHA ASEE

Bwana Mwishokambi naona kwa matokeo ya leo huko uliko naona pemben upo na ndimu kabisa
hahaaaa,habari za huko peramiho
 
a040d5e716e243149aa133ace2eb05bb.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufanikiwa sio kuchukua kombe tu ndio maana kila hatua kuna zawadi. Kitu rahisi hivyo uto hamuelewi.
Hakuna zawadi Kwa kila hatua ni uongo, Ile inayotolewa Kwa kila hatua ni pesa ya maandalizi kama usafiri, gharama za kulala hotel..Zawadi unatolewa Kwa finalists tu
 
Ifike wakat matokeo ya mpira yaheshimiwe bwana Mwishokambi juzi mmefungwa mbona hujasema Kama Azam wametembeza bahasha

Lakn yanga ikishinda akili yako inawaza bahasha TU nyie ndio mnaoenda uwanjan na matokeo yenu mambo yakigeuka mnachanganyikiwa na kuanza kuvaa chupi kichwan

Yanga hii imekufunga mara 2 mfululizo kupitia AZAM CUP lakn Wala hujasema kuhusu bahasha

Ndyo nakili yanga n ya humuhumu kimataifa bado tunajifunza kupata uzoefu lakn ushind wetu uheshimiwe tafadhari

Hatujafungwa mech 44 had Sasa katika ligi sio Jambo dogo mzee Kama rahis mngefanya ninyi tuone

Juz mlisimama sjui dakika ya 24 kusherehekea yanga kutocheza hatua ya makund kwa miaka 24 mfululizo mkashau kuwa game yenu itawapa uchungu mwishon dhid ya Azam

ILA MGUNDA BONGE LA KOCHA ASEE

Bwana Mwishokambi naona kwa matokeo ya leo huko uliko naona pemben upo na ndimu kabisa
Waambiage hao......
 
Hakuna zawadi Kwa kila hatua ni uongo, Ile inayotolewa Kwa kila hatua ni pesa ya maandalizi kama usafiri, gharama za kulala hotel..Zawadi unatolewa Kwa finalists tu
Nyie watu ni wapumbavu kweli, mbona sasa hivi Yanga hawapewi hiyo hela ya hoteli?

Hivi unajua kwa nini timu za Ulaya zinapigana kufa na kupona kumaliza hatua za top 4 ili zishiriki UEFA? Unadhani ni ili zikachukue kombe?
 
Back
Top Bottom