Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana.

If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi Watanganyika,

Kuna kipindi tuliambiwa uhamie burundi kama hatuwezi kulipa tozo iliyoongezwa, mnakumbuka ?? Tulifanya nini ?? Sisi wote humu tulifanya ?? Kuna siku na sisi tunauzwa wala hatutafanya chochote maana akili zetu kuna sehemu zinaishia na walioko madarakani wanajua hilo. Tupige kelele tuwezavyo mwarabu asipewe bandari.

Tusiwategemee wale Umoja wa vijana wapige kelele,wale viongozi wakiamua waolewe mjue hawa vijana wa kiume wanaweza kukubali, na watakuja na hoja kwamba ukiliwa na kiongozi wako unayemkubali ni baraka... idiots all Umoja wa vijana.

Siku zote nimesema siku hawa wenye nchi wakijua wajinga wamepungua na wenye akili wameongezeka watapunguza haya mambo yao meusi ila as long as kundi kubwa la wajinga linaongezeka as time goes on wallah nawaambia ipo siku tutaambiwa tuhamie huko Baidoa somali na hakuna atakayebisha?

Je, tusubiri wenye akili tufike wengi ndo tuanze hayo maandamano.

Shida Moja, wajinga mnazidi kuzaa wajinga wenzenu.

Chifu Mangungo wa Msovelo alisainisgwa kwa ulaghai na kutokujua kwa kutokusoma kwake ila awa wa siku hizi wamesoma na wanasaini tu mikataba mibovu zaidi ya aliosaini Chifu Mangungo.

#MudaNiSasaTuamke
 
Mkuu unasemea ukiwa wapi? Wewe lianzishe huko huko usingoje nani alianzishe! Vinginevyo hapo,Ni nani atakayemfunga paka kengele!
 
Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana,

If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi Watanganyika,

Kuna kipindi tuliambiwa uhamie burundi kama hatuwezi kulipa tozo iliyoongezwa, mnakumbuka ?? Tulifanya nini ?? Sisi wote humu tulifanya ?? Kuna siku na sisi tunauzwa wala hatutafanya chochote maana akili zetu kuna sehemu zinaishia na walioko madarakani wanajua hilo. Tupige kelele tuwezavyo mwarabu asipewe bandari.

Tusiwategemee wale Umoja wa vijana wapige kelele,wale viongozi wakiamua waolewe mjue hawa vijana wa kiume wanaweza kukubali, na watakuja na hoja kwamba ukiliwa na kiongozi wako unayemkubali ni baraka... idiots all Umoja wa vijana,

Siku zote nimesema siku hawa wenye nchi wakijua wajinga wamepungua na wenye akili wameongezeka watapunguza haya mambo yao meusi ila as long as kundi kubwa la wajinga linaongezeka as time goes on wallah nawaambia ipo siku tutaambiwa tuhamie huko Baidoa somali na hakuna atakayebisha ??

Je tusubiri wenye akili tufike wengi ndo tuanze hayo maandamano.

Shida Moja,wajinga mnazidi kuzaa wajinga wenzenu...

Chifu Mangungo wa Msovelo alisainisgwa kwa ulaghai na kutokujua kwa kutokusoma kwake ila awa wa siku hizi wamesoma na wanasaini tu mikataba mibovu zaidi ya aliosaini Chifu Mangungo.

#MudaNiSasaTuamk

Mkuu unasemea ukiwa wapi? Wewe lianzishe huko huko usingoje nani alianzishe! Vinginevyo hapo,Ni nani atakayemfunga paka kengele!
Huu mkataba ukipitishwa na bunge sote tuingie barabarani kuupinga
 
Back
Top Bottom