Mkisikia 'Supu ya Bure' na 'Uroho wenu' mnafakamia tu sasa Kazi Kwenu

Msimbazi muige sijui mtachinja nini maana mmeshapata tuzo ya mashabiki bora
 
Duh kazi ipo, supu ya bure tulipo ipa timu yetu hamasa (support) lazima tupate rewards, kwanza nilikuona kwenye supu na bakuli lako kubwa kama beseni na chapati mfukoni
kumekucha huyu jamaa janja janja nae alizamia supu ya bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…