kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Umekwenda kwake ukamkosa!Makonda yuko wapi mpendwa wenu na Sabaya. Nyie matapeli hamuaminiki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekwenda kwake ukamkosa!Makonda yuko wapi mpendwa wenu na Sabaya. Nyie matapeli hamuaminiki tena
Mjinga tu kwani jenelali ulimwengu ni nani. Akiendelea kutukana viongozi anaburuzwa mahakamani. Hebu aendelee kutukana na kudharau speaker na bunge kama hatafungishwa safari dodoma kwenye kamati ya bunge. Kiburi na kujidai kama kawaida ya mbari yao haitishi yeyote ccm.1. Msiwe Mazuzu ( Majuha )
2. Acheni Vitisho na Ubabe
3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola
4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi
5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
7. Jibiidisheni sana Kusoma Machapisho mbalimbali ili kuongeza ufahamu wenu mdogo ulioishia tu kuijua Bahari ya Hindi, Mazingira yake pamoja na Muungano wa wenye Visogo ( Vichogo ) na wale wasiokuwa navyo.
Tena nyumba tukufuMachogo yapo bara!
Ni vyema wazingatie hayo na sio kutaka kunyamazisha umma wanaowakosoa kwa matendo yao.Msiwe Mazuzu ( Majuha )
2. Acheni Vitisho na Ubabe
3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola
4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi
5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo
6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
Ametukanaje? Unajua maana ya kutukana?Mjinga tu kwani jenelali ulimwengu ni nani. Akiendelea kutukana viongozi anaburuzwa mahakamani. Hebu aendelee kutukana na kudharau speaker na bunge kama hatafungishwa safari dodoma kwenye kamati ya bunge. Kiburi na kujidai kama kawaida ya mbari yao haitishi yeyote ccm.
Kabisa aseeBinadamu yeyote anaejitambua hapendi mfumo huu wa kinafiki unakwenda kinyume na Mapenzi ya Mungu kuabudu mungu mtu.
Hasara kubwa kwa serikaliwakiyafanya haya namimi nitawaunga mkono.
Wasiwasi wangu lile bunge la mwendakuzimu halina baraka yoyote. Litakaa hadi 2025 bila faida yoyote. Bunge la Damu
CCM wanajivunia polisi na mahakamaAmetukanaje? Unajua maana ya kutukana?
Ni vyema ukawa na akili japo kidogo kuliko kuwa na akili za kukariri!
Wanatakiwa wafungwe harakaMakonda yuko wapi mpendwa wenu na Sabaya. Nyie matapeli hamuaminiki tena
Jenerali maji marefuJenerali akiwa anakula burudani baada ya Kazi View attachment 2010953
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Kuandika tu vyema neno Jenerali umeshindwa na umeandika jenelali hivi Intellectual na Critical Thinker kama Mimi KEROZENE napata wapi muda wa Kujibizana na Kukuelimisha 'Damn Fool' kama Wewe?Mjinga tu kwani jenelali ulimwengu ni nani. Akiendelea kutukana viongozi anaburuzwa mahakamani. Hebu aendelee kutukana na kudharau speaker na bunge kama hatafungishwa safari dodoma kwenye kamati ya bunge. Kiburi na kujidai kama kawaida ya mbari yao haitishi yeyote ccm.
Ndo uwezo wake ulipofikia..diploma ya wanyamapori pale Mwika...Ndugai ndio anatia aibu kabisa
Jibu hoja na wewe acha uzwazwa!Sasa kama Kuandika tu vyema neno Jenerali umeshindwa na umeandika jenelali hivi Intellectual na Critical Thinker kama Mimi KEROZENE napata wapi muda wa Kujibizana na Kukuelimisha 'Damn Fool' kama Wewe?
“Usiwe na miungu mingine ila mimi. Kutoka 20:3 AMENBinadamu yeyote anaejitambua hapendi mfumo huu wa kinafiki unakwenda kinyume na Mapenzi ya Mungu kuabudu mungu mtu.