Mkitaka Jenerali Ulimwengu anyamaze na awe anawapigieni Makofi ya Heko mkiwa Magogoni na Chamwino fanyeni haya...

Jenerali akiwa anakula burudani baada ya Kazi
1636954259730.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Msiwe Mazuzu ( Majuha )

2. Acheni Vitisho na Ubabe

3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola

4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi

5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo

6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu

7. Jibiidisheni sana Kusoma Machapisho mbalimbali ili kuongeza ufahamu wenu mdogo ulioishia tu kuijua Bahari ya Hindi, Mazingira yake pamoja na Muungano wa wenye Visogo ( Vichogo ) na wale wasiokuwa navyo.
Mjinga tu kwani jenelali ulimwengu ni nani. Akiendelea kutukana viongozi anaburuzwa mahakamani. Hebu aendelee kutukana na kudharau speaker na bunge kama hatafungishwa safari dodoma kwenye kamati ya bunge. Kiburi na kujidai kama kawaida ya mbari yao haitishi yeyote ccm.
 
Msiwe Mazuzu ( Majuha )

2. Acheni Vitisho na Ubabe

3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola

4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi

5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo

6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu
Ni vyema wazingatie hayo na sio kutaka kunyamazisha umma wanaowakosoa kwa matendo yao.
Asiyekosolewa ni Mwenyezi Mungu peke yake na sio hawa binadamu wenzetu
 
Mjinga tu kwani jenelali ulimwengu ni nani. Akiendelea kutukana viongozi anaburuzwa mahakamani. Hebu aendelee kutukana na kudharau speaker na bunge kama hatafungishwa safari dodoma kwenye kamati ya bunge. Kiburi na kujidai kama kawaida ya mbari yao haitishi yeyote ccm.
Ametukanaje? Unajua maana ya kutukana?
Ni vyema ukawa na akili japo kidogo kuliko kuwa na akili za kukariri!
 
Mjinga tu kwani jenelali ulimwengu ni nani. Akiendelea kutukana viongozi anaburuzwa mahakamani. Hebu aendelee kutukana na kudharau speaker na bunge kama hatafungishwa safari dodoma kwenye kamati ya bunge. Kiburi na kujidai kama kawaida ya mbari yao haitishi yeyote ccm.
Sasa kama Kuandika tu vyema neno Jenerali umeshindwa na umeandika jenelali hivi Intellectual na Critical Thinker kama Mimi KEROZENE napata wapi muda wa Kujibizana na Kukuelimisha 'Damn Fool' kama Wewe?
 
Jibu hoja na wewe acha uzwazwa!
 
Binadamu yeyote anaejitambua hapendi mfumo huu wa kinafiki unakwenda kinyume na Mapenzi ya Mungu kuabudu mungu mtu.
“Usiwe na miungu mingine ila mimi. Kutoka 20:3 AMEN
 
Back
Top Bottom