Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

Yaani wa-TZ wakisikia tuu jina la Kagame wanakosa amani kabisa, kama kweli mna uwezo fanyeni kama walivyo fanya russia kwa ukraine, otherwise endeleeni kuumia moyo wakati mwamba na nchi yake wanatoboa, kaeni mkao wa kuliwa, na nyie siku yenu ipo,
Mkuu Kuna kichaa kaiba simu yako au nini wewe ndo umepost huu uharo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshaanza kupiga simu hovyo wanaomba kurudi.
Nina Mmoja anakaa Mwenge Maghorofani kila akiipiga Simu kwa Mkewe analia Mawili Kipigo wanachokipata huko Congo DR kwa 'Wanamume' wa 'Kitutsi' M23 na Kuikosa na Kuchapiwa 'Mbunye' yake ambayo hata Mambo yakienda vyema Jumanne ijayo 'naitindua' na 'Mkuyenge' wangu Uliotukuka kwani anamalizia Kesho 'Ada' yake ya Mwezi.
 
Wewe siku hizi umeshakuwa Mtani wangu na napenda mno unavyonipiga Madongo na kuna muda huwa yananiingia na nabaki Kuvunjika tu Mbavu zangu. Na nilujua tu kuwa utakuja katika huu Uzi wangu niliouanzisha Makusudi kabisa na Kimkakati zaidi.
hahaha!! pamoja sana , unapenda sana ligi na ubishi ndio maana unaanzisha mada za kimitego ili ukamate watu .
 
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.

wewe ni mtusi au
 
Nina Mmoja anakaa Mwenge Maghorofani kila akiipiga Simu kwa Mkewe analia Mawili Kipigo wanachokipata huko Congo DR kwa 'Wanamume' wa 'Kitutsi' M23 na Kuikosa na Kuchapiwa 'Mbunye' yake ambayo hata Mambo yakienda vyema Jumanne ijayo 'naitindua' na 'Mkuyenge' wangu Uliotukuka kwani anamalizia Kesho 'Ada' yake ya Mwezi.
😝😝
 
Cha kukujibu Sina Mimi kama mkongo
Ninacho Lilia ni inch yangu kuona tunasumbuliwa Na sisimizi mmoja tu sisi tembo ila kwa Akili yangu Mimi ningelikuwa raisi Rwanda ni inch ya kupiga kwa matukio sio kwa vita apana ni inch ya kuwagombanisha ninyi kwa ninyi kwa watusi Na wautu maana mkingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kumtoa Yule paka shume madarakani ni kitu kidogo tu

Ila unaonekana una penda ubishi saana wewe mbwa mkubwa
 
Hao awataki kumaliza vita Ili waendelee kuitafuna congo
 
Mwezi Mchanga kama kawaida yako.
Ashakum si matusi wahenga walipata kunena "kwenye maisha jitahidi sana kuficha ujinga wako"
Sisi atupigani na nyie tuna wazuia tu kutumia bandari yetu...
 
Rwanda ni panya wadogo sana. Hamna kitu pale. 2013 JK alimuonyesha kagame Tanzania ni nini, ndani ya wiki 2 tu aliwafurusha wanyarwanda huko Congo
 
Back
Top Bottom