papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,698
TzKati ya Tanzania na Rwanda nani anamuhitaji mwenzie zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TzKati ya Tanzania na Rwanda nani anamuhitaji mwenzie zaidi?
Alitutoroka Milembe.Daktari wa mirembe aliye mruhusu GENTA awe huru akamatwe haraka..
Unajisemea tu lkn PK mwenyewe anajua shughuli ya bijana wetu...Jipendekezeni kuwapa Msaada mkafe kama Kuku.
Huyo ni mgonjwa wetu hapa Milembe alitoroka tokea Julai 2013!
Mkuu Kuna kichaa kaiba simu yako au nini wewe ndo umepost huu uharo?Yaani wa-TZ wakisikia tuu jina la Kagame wanakosa amani kabisa, kama kweli mna uwezo fanyeni kama walivyo fanya russia kwa ukraine, otherwise endeleeni kuumia moyo wakati mwamba na nchi yake wanatoboa, kaeni mkao wa kuliwa, na nyie siku yenu ipo,
Nina Mmoja anakaa Mwenge Maghorofani kila akiipiga Simu kwa Mkewe analia Mawili Kipigo wanachokipata huko Congo DR kwa 'Wanamume' wa 'Kitutsi' M23 na Kuikosa na Kuchapiwa 'Mbunye' yake ambayo hata Mambo yakienda vyema Jumanne ijayo 'naitindua' na 'Mkuyenge' wangu Uliotukuka kwani anamalizia Kesho 'Ada' yake ya Mwezi.Wameshaanza kupiga simu hovyo wanaomba kurudi.
hahaha!! pamoja sana , unapenda sana ligi na ubishi ndio maana unaanzisha mada za kimitego ili ukamate watu .Wewe siku hizi umeshakuwa Mtani wangu na napenda mno unavyonipiga Madongo na kuna muda huwa yananiingia na nabaki Kuvunjika tu Mbavu zangu. Na nilujua tu kuwa utakuja katika huu Uzi wangu niliouanzisha Makusudi kabisa na Kimkakati zaidi.
hahaha!! pamoja sana , unapenda sana ligi na ubishi ndio maana unaanzisha mada za kimitego ili ukamate watu .Wewe siku hizi umeshakuwa Mtani wangu na napenda mno unavyonipiga Madongo na kuna muda huwa yananiingia na nabaki Kuvunjika tu Mbavu zangu. Na nilujua tu kuwa utakuja katika huu Uzi wangu niliouanzisha Makusudi kabisa na Kimkakati zaidi.
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa' kama 'Kuku' na Kujuta kwani kwa saaa hakuna Majeshi imara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama ya Rwanda ( RDF ) kwa Kagame na Uganda ( UPDF ) kwa Museveni.
😝😝Nina Mmoja anakaa Mwenge Maghorofani kila akiipiga Simu kwa Mkewe analia Mawili Kipigo wanachokipata huko Congo DR kwa 'Wanamume' wa 'Kitutsi' M23 na Kuikosa na Kuchapiwa 'Mbunye' yake ambayo hata Mambo yakienda vyema Jumanne ijayo 'naitindua' na 'Mkuyenge' wangu Uliotukuka kwani anamalizia Kesho 'Ada' yake ya Mwezi.
hahahaha.Fanyeni kama mnajikuna.. kama hamjaichora chini mazafantah..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo soldier anapigwa tu na manzi yangu haitaji mwanaume yani kumnyonyoaView attachment 2250137
Sisi atupigani na nyie tuna wazuia tu kutumia bandari yetu...Mwezi Mchanga kama kawaida yako.
Ashakum si matusi wahenga walipata kunena "kwenye maisha jitahidi sana kuficha ujinga wako"