Mkiwa mbele za watu anakua baby kweli kweli ila mkiwa chumbani hataki hata kugusana

Bas mkuu watakua Kuna mkutano walikaa wakapangq mambo yao maana na mm kama sielew kabsaaa,sasa naona watakua walikutana kweny vikoba wakapanga
 
huyo Simba jike usitake kumfanya nyau nawe kuwa Simba dume case closed.
 


Hii scenario inahappen pale Tu ambako mwanamke anamzidi kipato mwanaume

Na ubaya zaidi huyo mwanamke anaweza kuwa analiwa na mtu ambae anasapotiwa financial na mke wake haha
 
Kivumbi
 
Nimechekaa sanaaaa Mkuuuu daaa lkn poleee mkuu ,hawa Viumbe hawa wana mambo hawa
 
Nimechekaa sanaaaa Mkuuuu daaa lkn poleee mkuu ,hawa Viumbe hawa wana mambo hawa

Haswa akianza kupata viela,
Wewe mtu wake anakuona hauna maana tena kwake

Ila Yule wa nje ndio anakuwa best option

Anasahau hata huyo wa nje na yeye possibly vyote anavyomuona navyo ni vya mke wake
 

Basi uwe unamwomba hapo hapo mbele za watu. Hawezi kukataa. Mnamalizana mkirudi chumbani ni kulala tu.
 
Wanaume tunapitia mengi sana, anyway pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…