Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Bas mkuu watakua Kuna mkutano walikaa wakapangq mambo yao maana na mm kama sielew kabsaaa,sasa naona watakua walikutana kweny vikoba wakapangaMbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani.
Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura.
Ile closeness inapotea, kule kuitana baby wala darling kama ilivyokua mbele za watu sijui huwa vinapoteleaga wapi ndugu zangu, na ndo kwanza watoto wawili tu? 🐒