Mkiwa mbele za watu anakua baby kweli kweli ila mkiwa chumbani hataki hata kugusana

Kawaida,tunaishi ili siku zisogee ila ndoa zilishakufa kitambo
 
mtaani Wanawake wanateswa na Ndoa...Ila JF ni tofauti kabisa wana ndio wanapelekeshwa
 
Mzoee tu, wengi wapo hivyo wanapenda attention za watu wengi..
 
Jipe Raha kijana wangu.

Ndio mana kukawa na kinywaji kinaitwa POMBE kiburidosho cha akili.

Lakini ukizidisha ni madhara Kwa afya yako.
 
Anachotaka ni ile heshima inayoitoa jamii kwa wanandoa basi. Ongea nae kama vipi muwe na ndoa ya picha zikiisha kila mtu akafanye lake.
 
Huyo Tlaatlaah ndo anaongoza kuandika pumba zaidi kule kwenye jukwaa la siasa
kuwa na heshima kidogo ikiwa umefikia ukomo na kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala..

huo ni umbea wa wenye akili finyu wa uswahilini kujadili watu..

Na uache ushirikina gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…