Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi. Sasa wataanza kugomea biashara kwa mfano walivyogoma kuunga mkono wasanii wataanza kugomea biashara na mambo ya serikali ambayo ni ya uchumi.
Kama wananchi hawana ushirikiano na serikali kuanzia vijijini mpaka mjini hilo pia ni tatizo na ndiyo mambo yataenda kutokea.
Yaani serikali haitapata ushirikiano na watanzania wengi na hii itasababisha uchumi wetu kuyumba sana.
Serikali ni lazima ifanya utaratibu wa wazi wa kupata katiba mpya na HAKI nchini kwa manufaa ya wote sio wachache.
Nyakati za kulazimisha madaraka garama yake sasa ni kubwa kwa wengi kuliko faida!.
Kama nchi tunatakiwa kushindana na nchi nyingine Duniani sasa serikali badala ya kujenga nchi ni kutunishiana vifuaa na vijana ambao ndiyo kesho watakuwa madarakani. Uhasama ambao haina namna watu wamesha tengeneza mabilioni na kuficha huku Dubai lakini bado hawataki kutoa haki kwa manufaa ya nchi